sauti iwafikie - ksonrap lyrics
[intro]
ksonrap..
nipo na d black..
wuuoh!!
[verse:1 ksonrap]
hii habari nifike mbali bro popote alipo kadgo;
iwafikie kimara, mpaka mbezi mwisho walipo much know;
ifike migomigo ilaila machinga kariakoo;
ifike mpaka depo masoldier wanapo crow
chini kabisa migodini apolo anaezisaka dow;
ifike mpak kino b.o.b wazee wa ngoma droo;
iwafikie maboss, rostam bakhresa pia na moh;
ifike mpaka kenya jua ukoo flani mau mau
ifike maghetoni kwa masela siwezi kuwasahau;
hii sauti ikibidi ifike mpaka jela;
iwape hope mskate tu tamaa
(kson) sauti ya mitaa;
iwafikie wanangu wabajaji bodaboda;
makongo juu,tegeta mpaka goba;
wafanyabiashara ndogondogo mbogamboga;
ifike uswahilini sogodo pia kwa kopa;
iwafikie man*gga hip hop (wa kiota)
ifike tmk ushuani masaki ostaby;
iwafikie malegendary kama sugu fanani pia na jay;
iwafikie maemcee mabreaka madjay iwafikie wachata
magraphite tukichafue sana street;
mbagala mbande na kibiti;
wazee ikiwapendeza mniandalie na kibinti..
ifike kilachocho atown rivercamp (kwakina joh)
kijenge juu ngalimi ngaramtoni (matejoo;)
bila kusahau iwafikie mashabiki wadau wasanii tupige sana shows;
ifike mtv bet mpaka grammy,kwàheshima imfikie master jay na majani;
ikifika magogoni muipeleke na chamwino mjengoni
[outro]
iwafikie iwafikie iwafikie hii sauti iwafikie
Random Song Lyrics :
- 120 - djthewildflower lyrics
- smile - earth and fire lyrics
- three little words - ball park music lyrics
- zuhause - ahzumjot, brkn, souly & wanja janeva lyrics
- bushy - tiny masters of today lyrics
- pharrell - seka (fra) lyrics
- mole song - bug fight lyrics
- jjba - hatemeadow lyrics
- expectations - goddess fiji lyrics
- a ti - fabi lyrics