lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

safari - ksonrap lyrics

Loading...

[intro]
ahh ah
ksonrap
you know what i’m sayin’?
safari yangu..

[verse 1: ksonrap]
safari hii hakuna tena kujipakulia minyama;
itakuwa ni roho sitakuwa tena na huu mwili wa nyama;
safari hii nitakuwa peke yangu bila baba wala mama;
safari hii watakaoniaga watakuwa wameshika tama;
safari hii nikiondoka sitorudi tena, nitaenda kimya sito ongea tena;
sio ughaibuni useme nikate passport sio uganda wala kenya;
safari hii sitokuwa nachama cha siasa ccm cuf au chadema;
safari hii sitochelewa nitakapo hitajika nifika tu mapema;
safari hii pua zitaziba sitoenda nikiwa nahema;
safari hii sijui muda wa saa sijui ni asubuhi jioni mchana au machweo jua linazama;
nitakuwa mishemishe town au studio nikiwa nachana;
safari hii haijalishi heavy nimenenepa au nimekonda sana;
safari hii hakuna wakunidai nauli mi ndo dereva mi konda;
safari hii barabara ni nyembamba hakuna traffic wakukagua sijafunga mkanda;
hii safari hakuna wakuzuia sio madaktari wauguzi sio waganga;
safari hii sitokuwa na guitar kama nesta walasitowasikia mkinipigia kinanda;
safari hii daz nundaz wataimba tu kamanda;
safari hii nitawaachia nguo zangu wavae nitaondoka tu na sanda;
safari hii hakuna anaweza tamba hakuna wakujiita mwamba;

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...