napotokea - ksonrap lyrics
Loading...
napotokea nikisanga nilipo panga;
kipohuku kilichomtoa manyoya kanga;
mbele kwa mbele wananchi wanaisoma namba;
vyuma vimekaza tumekonda;
hakuna wakusubiri majibu angaza;
utakacho kiona hutakiwi kutangaza we nyamaza;
sekunde tu wanakinukisha kama hamza;
miujiza zaid ata ya mwamposa bulldozer;
wazee wakupuliza chumaulete kwenye mtaji wakaranga;
mpak vibabu vinavuta kushabu tu maganja, mirungi vina chanja;
kabla huj*pigwa ndumba wahi wewe kwa waganga;
hatulali kwa raha juu ya bati sauti tu za paka;
kila mtu anakunja huku hakuna atakae kupa dili za mkwanja;
utagonga mwamba full ngwamba huku huwezi tamba;
alie iga kunya kwa tembo huku alichanika msamba..
Random Song Lyrics :
- baganese - dreamcache lyrics
- weigh it down - idaho lyrics
- not the same - dee dymondz lyrics
- vibe - młody rick lyrics
- a nice sweater - finn m-k lyrics
- warriors of the son - junior bruce lyrics
- float - lionfight lyrics
- ssx - damontrilla lyrics
- marty mcbad - justin skyler lyrics
- lover loser - d4nt3 lyrics