lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap ninani? - ksonrap lyrics

Loading...

kareem akjr nilizaliwa 1994 muhimbili hospital kwajina la kisanii ksonrap nilianza kupenda muziki kitambo kidogo nikiwa mdogo nikirecord nyimbo tofauti tofauti kutoka kwenye radio kwenda kwenye kanda (tape) niliharibu kanda nyingi sana za mzee w*ngu (adam..dj kamba) miaka hiyo ilikuwa marangu kilimanjaro kati ya mwaka 2004 nikiwa darasa la 4 nilianza kutiwa na miziki tofauti tofauti bolingo,bongo flavour lakini baadae nilianza kuvutiwa zaidi na rap automatically nilijikuta napenda sana miziki ya hip hop/rap baada ya kuskia miziki ya sugu..balozi dola…daz nundaz…prof jay..juma nature..easy muchwa…
..afande sele…jos mtambo..man dojo na domo kaya na wengine wengi nikavutiwa zaidi na rap,basi nikawa na copy mashairi yao nakuyachana nikifika darasani nawachania sana waskaji zangu…haji…chief..nickson..patrick kessy nk. hahah baadae umaarufu w*ngu ukawa mkubwa pale shuleni hapo nikawa napewa shows kwenye graduation za shule hapo nawachania mistari basi baada ya miaka kibao kupita wote na waskaji zangu hao tukafaulu na kwende 0 level darajani sec huko ndio tayarl miziki umeshaniingia kwenye damu na likizo nilikuwa nakuja dar nyumbani kwa wazee w*ngu dar es salaam, nikawa namuona uncle w*ngu hyper man hk ni artist nae alitoa kazi zake miaka hiyo zilitamba sana basi siku za holiday uncle anatupеleka billcanas pale alikuwa afanya kazi pale tunaruka sana dеbe..likizo ikiisha narudi school klm bhana ni kama depo baridi yake sio pouwa hiyo marangu ya miaka hiyo nilivyo fika form 3 hivi nilianza kuandika mashairi yangu mwenyewe sasa nakuya meza miaķa ikaenda hatimae ikafika 2011 form 4 hapo machachari sana najulikana shule nzima msanii kwenye graduation ya k*malizia form4 nilifanya show kubwa nilichana na kutuzwa pia nilishangiliwa sana basi nilivyomaliza nikarudi dsm ndipo nìkakutana na mwanangu habibu k.. huyu jamaa ni chizi mziki anapenda sana mziki mtu yule!!!! tukaunda kundi linaitwa mp classic baadae akaongezeka mwanangu mwingine ambae nilisoma nae marangu anaitwa godbless tulikuwa tunachana nae tokea darajani sec hiyo 2012 tukarecord wimbo wetu wakwanza pale kili records ilikuwa maeno ya tx karibu na bakwata kipindi hicho producer ni c9 kanjenje ndipo tukakutana na godzilla studioni hapa alikuwa anafanya shooting ya wimbo alioshirikishwa na vedasto unaitwa maumivu kama sikosei basi hapo mwanangu habibu alikuwa anafreestly zilla aliposkia akavutiwa sana na kutupatia connection na dj fetty clouds pale oya! for the 1’st time kuingia radio hiyo unforgettable moment mika ikaenda pia tukutana na mskaji moja anaitwa mudy kibiriti huyu alitusaidia sana kukuwa kiushairi pia alitupitisha studio tofauti tofauti nak*mbuka hiyo nipo chuo zoom polytechnic kiliķuwa magomeni usalama pale..pia nilikutana na mwana mwingine anaitwa pro idl pasco..mwana huyu alikuwa anapiga midundo tukawa tunaenda studio tofauti tofauti pia switch rec,tukakutana na luffa…pia ikafunguliwa vaku record ya eddo na domo kaya hapo ndio nilipokutana na brother domo kaya……84studio ya ngwesa…sasa nikapata habari za tamaduni muzik kilingeni pale kila jmosi nikawa muudhuriaji mzuri sana pale nikaanza kujuana na wasanii tofauti tofauti…p mawenge..kadgo..ghetto malle..boyka na wachanaji wengine kuanzia ile 2012 waliokuwa wanakuja kilingeni maarifa,chief songea,moh rhyme,syllabus,,boshoo,cass black,mbeya boy.. hawa wana tulifanikiwa kurecord cypher wote kwapamoja inaitwa akili nyingi ipo mtandaoni kundi linaitwa akili nyingi na wimbo unaitwa kali nyingi hivyo hivyo mika ikaenda nikajajuana na producer mskaji w*ngu muhimu wakuitwa ommypa amekuwa na mchango mkubwa katika harakati zangu za kurecord na kadhalika tumeanza kufanya projects na baadae harakati za kiotamv09 ambapo nilikuwepo katika ngoma ya kwanza yakiota mwaka jana 2022 na projects zingine zilizofanyika za kiotamv09 mwakahuu 2023 tumekuja tena na nguvu mpya kazi mpya tayarl limetoka inaitwa tatizo video ipo youtube pale pia unaweza kupata instagram kwenye account ya kiota mv09 au ukanichec kwenye account ya ya @ksonrap asante

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...