freestyle 24 - ksonrap lyrics
mi na mabinti dam dam kama fa
kitambo tu nachana tangu nipo chei chei
ameni inspare complex sio madee wala nay
mentali mwenye zali uliza jay
ukizingua masala kama yummy na derrick hardaway
kimbunga sio mchawi kasimu sio mganga manzabay
acha kulala saka pay kata simu ukishakata kay
nawatosa kama mgiriki aliemkamata stoloway
kson the scientist mzimu wa, leonardo da vinci
so trouble na mawaki sina peace
professor legend we ni lookie piga tizi
codes kwenye beat za d ,black sio zombie s2keezy, dirty south mwanamadharau kama geez
hii ni seriously kwenye rap business kama dube
kson g*nius kwenye game kama ruge
madogo wananiheshim nikitimba mlab kama duke
mistari yenye punch yakufua umeme kama bwawa la nyerere
kwenye rap naheshimika kama pele
wachawi wanapiga sana ndele chanja chale
nilikuwepo enzi zile za kilinge uliza malle
(rest in peace) salutaba fikra zitadumu miaka tele
vina navishona kama nywele
natupia kwenye nyavu ka mayele
na ramani ya sanaa na mitaa ndani ndani kwamtogole
misingi naitunza kama bible na mlokole
nitabaki kuwa noma uliza shule
chemchem usiulizie harakati bado bure
mbele kwa mbele msela naongeza tu misele
kifikra nawateka kama kikombe cha ambikile
Random Song Lyrics :
- ija salas - in the arms of the night - sofia jannok lyrics
- stragglin' behind - the lemon pipers lyrics
- loco - pachanga rmx short cut - pachanga lyrics
- sombre dans l'oubli - mentalités sons dangereux lyrics
- fables & other realities - john trudell lyrics
- nuit blanche - luidji lyrics
- гоголь (gogol) - алхха (alhha) lyrics
- big t.w.i.n.s. - infamous mobb lyrics
- airplane - the beach boys lyrics
- love don't live no mo - big k.r.i.t. lyrics