demu wa ndoto - ksonrap lyrics
[intro:ksonrap]
ksonrap
“what goes around comes around”
you know i mean
[verse 1: ksonrap]
kanamikogo yani kadogo dogo;
kamoto moto kametoka kwenye jiko;
nyuma kana mzigo kanatembea kwa mitego;
kifuani kana dodo yan saa sita kasorobo;
hakana shobo nikamodo;
sura yake inajiuza bila promo;
anashedo kwenye mdomo wanja kwenye jicho;
kapo simple nikadata tu mwendo;
huyu mrembo; mambo! kakajibu bila nyodo;
kakasema kaposingle kakanipa pia info kanaishi juu makongo;
kakanipa pia namba username yake tiktok kapo pia facebook;
tukapiga sana selfie maphoto macho matatu sio local;
kana tattoo kwenye shingo nikembamba yan kadogo dogo;
sauti yake unaweza ukaombea hata mkopo;
nilikuwa navuta fegi nikaipiga kwanza nyundo;
inaonekana nikafundi kitandani kanastyle zaidi hata ya judo taekwondo;
nikipige tu kibend kama tw*nga au akudo;
sikapakii hata mkongo nakawashia sana moto;
hakatoto kananukia unaweza sema jini yule wa z*anto;
nikapania nikasema kakinipa napita pеkupeku kama mpoto;
hapo hapo nikaomba nipige ata kamoko;
mara naskia mtu anagonga kwenyе mlango;
kushtuka k*mbe ilikuwa ni ndoto;
simu ikaita kupokea naskia sauti ya yule yule mtoto;
kajasho chembamba kikasikia sana joto;
nikaona sasa sio mchongo tena changamoto;
nikataka kukimbia kwenda chocho kufungua sasa mlango nakutana nae live uso kwa uso;
moyo ulipatwa na mshtuko k*mbe ilikuwa bado ndoto;
Random Song Lyrics :
- angel - fiyero + elphaba lyrics
- 12 суток (12 days) - хилми (hilmi) (rus) lyrics
- yrod - whitewillageluxkk lyrics
- risk - j-weezy (joshua obodo) lyrics
- joe biden diss track - wekko lyrics
- shh freestyle - (a9) pg lyrics
- drip 2 - nle choppa lyrics
- winna - big jony lyrics
- queviagem - yas (bra) lyrics
- кого съест кпсс? (who will the cpsu eat?) - mama russia lyrics