lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

stratosphere - kmworia lyrics

Loading...

you know chek strato uh cheki
mi huflow kama river
matime mi huwa believer

kuwakula kama njiva
mdomo iki-deliver
kudress ki-diva
na mbota label ya geneva
kucome kama fever
kuwawacha mkishiver
kitu rare kama silver
kitu important kama liver
kuwafeed kama toddlers
mtadhani mi caregiver
na kama ile time kuconfuse breakfast na dinner
nawapika kwa karai nawawacha mkisimmer
dreams bado kubwa goal nazo zina maglitter
beats nazo hapa mzeiya getting better and better
kutoka kijiko yaani being the go getter
kupita juu ya beat nikicheza na ma letter
namix hizi lugha utadhani carburetor
diamond in the ruff wanianiita mimi treasure
deni nimelipa sasa hao ndio debtors
chuki na siasa itabidi nimelenga
weather nabadili itabidi vua sweater
always niko mbele uniite pace setter
kama huna radar itabidi umetether
nafika pande zote nikispread hizo feathers
ruka juu kama deer
focus kali yani sheer
ka ni kinga beba spear
riches pale za appear
nikiishi na adhere
nitapaa stratosphere
nitapaa stratosphere
ruka juu kama deer
focus kali yani sheer
ka ni kinga beba spear
riches pale za appear
nikiishi na adhere
nitapaa stratosphere
nitapaa stratosphere
nitapaa stratosphere
watabaki wame fear
vile ship nina steer
inakaa kitu queer
wanadhani ni ma gear
ama yule financier
but kitu iko rear
ni vision yangu clear
usichoke uko near
penye nia pana njia
ukipanda hiyo lere
haters wote watalia
unipate na hatia
labda ya kubeba mia
mkishinda mme snear
na sitoi hata tear
ninaitwa engineer
na si jina ni career
miaka tano yaani years
cheti yangu souvenier
kwenye beat nakulia
na zingine naimbia
mtadhani pioneer
na sija volunteer
nilisimama kwenye pier
nikisip on the beer
mikosi interfere
karibu disappear
but nika persevere
uniite brigadier
thank god i am here
juu life yangu dear
nitaishi ku adhere
nikiishi visincere
forever bila fear
utadhani auctioneer
hata wewe nawe pia
utapanda hizo tier
engage the high gear
utapaa stratosphere
ruka juu kama deer
focus kali yani sheer
ka ni kinga beba spear
riches pale za appear
nikiishi na adhere
nitapaa stratosphere
nitapaa stratosphere
ruka juu kama deer
focus kali yani sheer
ka ni kinga beba spear
riches pale za appear
nikiishi na adhere
nitapaa stratosphere
nitapaa stratosphere
ruka juu kama deer
focus kali yani sheer
ka ni kinga beba spear
riches pale za appear
nikiishi na adhere
nitapaa stratosphere aaaayy
nitapaa stratosphere

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...