saka doo - kizazi sana gang lyrics
verse 1: dantez
am looking for money natafuta pesa life iko funny ndo maana natesa sina haraka ntakuja kalesa, lewa muziki na beat ndo chaser walivouliza niko vipi? nikawajibu kabisa, huku umeshika mavisa kwenda sokoni kusaka mapesa pesa sa nipe ‘hi’ niko fiti nikupe kidole cha rasa, nimerudi inakaa niliondokaga kalesa lesa super hero wa mabinti kusaka mavumba na tas niko zangu kisiwani nakunywa kasupu ka pweza na kasa vile na napenda muziki, takwenda k*muona basata, takwenda na kuku ju kuku ni ndege na kule watu hula bata, am looking for money najua ntapata,tafuta doo sichoki kusaka, mkitaka flow najua ntawapa mkali wa flow najua nko hapa!
chorus:
(am looking for money ( money money)
saka doo ( nasaka hiyo doo)
saka flow ( nasaka hiyo flow)
saka doo( saka hiyo doo)) x 2
(saka saka saka doo
saka saka saka flow
saka saka saka doo
saka saka saka more) x2
verse 2: tala boy classics
saka fuba kila kona, nile bata, nile kuku nile hadi kanga niwapotezee mothеrf*ckers, i don’t care hela n*z*saka,mwanaumе ni effort, stand strong like gecko, jitume kidume kwenu sio kwako jipange na kesho, nimetokea ghetto siishi kwa mikopo, wewe ni wewe huwezi kua mimi so hio ni ndoto, dera bila chupi hiyo n habari za mjini, makini herbal si ya joh makini, akili kichwani muhimu ni kua makini, kitambi bila hela hiyo ni ball, pata hela unukie marash, nikiwa mashash sitaki ma hash, moshi kwa moshi, s*x na socks, am looking for money, nitimize ndotoo, kushoto kulia watoto w*n*lia, no jobs more crime, less jokes
verse 3: armaneh
more flows more doo, top score mi na score, oya vipi ma bro si tupige mchongo, ju 254 ni gamble vita kali ka ya rambo ma n*gger stay humble, michongo piga double, bora kuji pimp boys hakuna pusha ndani, push push for real, go hard ka msee wa line, fake rappers nawak!ll, mission tumeshasign, kama doo tupige deal ukiroba joh am gone
chorus:
(am looking for money ( money money)
saka doo ( nasaka hiyo doo)
saka flow ( nasaka hiyo flow)
saka doo( saka hiyo doo)) x 2
(saka saka saka doo
saka saka saka flow
saka saka saka doo
saka saka saka more) x2
Random Song Lyrics :
- masa tenggang - vita alvia lyrics
- future ex lover - jada facer lyrics
- havana - pentatonix lyrics
- sejati (ajl32) - azmi saat lyrics
- singkong & keju - nella kharisma lyrics
- noragami opening - dariadubs lyrics
- stole my heart - akcent lyrics
- lucky 88 - speedy ortiz lyrics
- all the time - ali gatie lyrics
- find you - hamza hawsawi lyrics