lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

moyo kama macho - kivurande junior lyrics

Loading...

moyo kama macho upepesa pande zoooteee
lalaaa laaala laaaaahhh
moyo unamashiko uzishika isiaa zoooteee
laaala lalaaa laaaaahhh
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimpendae
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimtakaeeee
mwezenu nimepagawa mwezenu nimechachawa
ni kweli namuelewa na kwake nimezidiwaa
moyo taaratibu usije kuniumizaa
nusu ya wazima usije nipandikizaa
moyo taaratibu usije kuniumizaa
nusu ya wazima usije lipandikizaa
nasema na moyo w*ngu usije kunitatizaa
mjini kuna vya watuu visije kuniuumiza
nasema na moyo w*ngu usije kunitatizaa
mjini kuna vya watuu visije kuniuumiza
moyo taaratibu usije kunisumbua
nikapata tabu mwisho ukanisumbuaa
moyo taaratibu usije kunisumbua
nikapata tabu mwisho ukaniumbuaaa
mwezenu nimepagawa mwezenu nimechachawa
ni kweli namuelewa na kwake nimezidiwaa
moyo kama macho upepesa pande zoooteee
laaala laaala laaaaahhh
moyo unamashiko uzishika isiaa zoooteee
laaala lalaaa laaaaahhh
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimpendae
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimtakaeeee
moyooooo ooooooooohoooooo ooooohohh
moyo toa mashakaa
moyooooo ooooooooohoooooo ooooohohh
moyo w*ngu tiririka tiritirii
tiriii tiri mama tiriii
mwanagu natiririkaa nasema natiririkaa
we mama natiririkaa tiritirii
tiritirii tiritirii maama tiriri
mwanagu natiririkaa nasema natiririkaa
we mama natiririkaa tiritirii
tiritirii tiritirii maama tiriri
mo fire sasa ni zamu ya watu k*mwaga majii
tuwamwagishe watu maji eeh mo firee
ahh wa mwage waloooeee
ale maji maji maji maji majii majiiiiii
ale maji maji ya kisima maji ya kunawa majii
ya kuoga maji ale maji maji ya kisima maji
ya kunawa maji mi nasema maji chemchem aah
mtw*ngio tw*nga kati kati usiharibu kinu changu
mtw*ngio tw*nga kati kati usiharibu kinu changu
ale tw*nga tw*nga mi nasema tw*nga mo fire tw*nga
mi nasema tw*nga kivurande tw*nga mi nasema tw*nga
ale tw*nga tw*nga katikati tw*nga nakushoto tw*nga
na kulia twana wachapee sasa warakeee
utamu ohh utamu kuzidiii warudi nyumbani]
ustadhi na yeye *n*logaa tangaaaaa
waja leo waondoka leoo ehee
sikiliza suluhu tamu kutoka kwa matore mtoto wa taboraa
wacharazie leo wakujue na wewe ni naniii

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...