mara moja mbili tatu - kingsmainamssteve lyrics
(intro)
its a new day baby wake up utachelewa kwendaa kazinii eeeeeeeh,kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh
(chores)
kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipe mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh, kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh
(verse 1)
mi ninampago leo leo, tunadunda nawe, tulipatana juzi na katiba tuchasoma ,ukanipeda, nikakupeda ,mtaani nishaigizia nawe,picha tushapigwa,kila mtu anajua wewe ni w*ngu eeeh, pete kufa kupona tushaapa tusiachane milele daima dawamu,watani wananiita kipaza sauti ni nyimbo moto ninazoiba,mapezi moto nishakupa ,mziki, tushasheza naweeh, wee queen,sema jina langu boss baby wa nguvu oooooooh
(chores)
kwanza nasema nipе mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh, kwanza nasеma nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu, cunipee, cunipeeeeeeeeh
(verse2)
ati maisha raa,twende mombasa tukakuree raa ,sahau shida ni kwa muda darling, naamini kwa utaratibu , kampala zimbabwe kote kote ,please ,please baby girl cheza ka wewe wacha kukazia mmmmh
(outro chores)
kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipee mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu
cunipee, cunipeeeeeeeeh ,kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu, nasema tena nipe mara moja mbili tatu, tafadhari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipeeeeeeeeh
Random Song Lyrics :
- pandora's box - okhle 3a tt lyrics
- siren song - three laws lyrics
- somebody watching me - yo gotti lyrics
- mi vida eres tú - coalo zamorano lyrics
- flingue dessus - 1995 lyrics
- טלפון - מיקה דוארי lyrics
- boom - dynamite deluxe lyrics
- what they want - aston veyron lyrics
- drug lord wizard - boy froot lyrics
- o teatro dos corruptos - shawlin lyrics