swahili shakespeare - king kaka lyrics
rabbit, kaka sungura
bad time ziukuja na believe ni bila warning
so najipanga for the weather, jua tua ya jioni
wanashangaa vile niko ka mlevi anastagger but on a tight rope
comments kwa wall mahali naperform wanadai mi ni mdope
wakizidi kuongea chafu waambie waswallow soap
streets is talking, unabelieve in corridors?
leo so much love, kesho hawakufahamu, horrible
but i guess ni kama relationships
mi upatana na x’s tukiwa na y’s tukienda ma z z z
nina apeal ya upunk but ghetto kaa moha na linda
hauamini spider-webs zikishikana zinaweza funga simba
nawaconfiscate hao bado wanajicomplicate, nakeep it simpler
bado wananiita kwa ofisi, wananistudy hawa madean/
paper yangu inamarkiwa kwa club h-ssan akispin
present teacher, the swahili shakespeare!
ati niukate ndio waauction recordings zangu na desk pia
little things ufurahisha tiny minds, talk huwa haipiki rice, huyu boy nimnice!
mic check 1 2, 1 2 testing
nilikosa kicks na snares, misfortunes ni blessings
ata wakinikazia nauzwa kwa streets kaa drugs taboo
fake friends bado wanaitikia, wale real wanaargue
nikiwa east ni letter ya tano, westy ni ‘w’
present teacher, the swahili shakespeare!
ata talks zinaendelea vile nafaa kuwekwa kando ya monument ya tom mboya
hapo hapo mr. price, tumeongea na prezzo aliniambia 2 more albums nikishazitoa
yeah! rabbit anarule animal kingdom si siri
apart from mistari, natema vitu fishy, veni, vidi vicci
ati swag nikubakisha food ndio itupwe kwa taka
nkt! fala! si tukipiane kiubrotha, uzuri love ni virus inaweza wai msee yeyote
kaka sungura laundry tunableach, ukabila na ufala nitumie jik au topex
present teacher, the swahili shakespeare!
ni poa kubuild bridges than niunde ukuta
no dumping! taka taka bado utupwa
uzuri god ako kwa team yangu, haujacheki scoring?
ehh nilifunzwa kulala na one eye open
pastor -n-lay hands kwa kichwa yako hopin’ utawacha robbin, usaidie city kaa batman na robin
hiyo 3rd sunday zaituni akazaa, asante mungu
grandma amelive tena aggy, msichana wa nguvu
kemp to yunah walucho, but you win some na upoteze pale
mtoi wa anto uhunye, na walach – ray mw-ngale
moment of silence
present teacher, the swahili shakespeare!
make sure mouth yako ni sharp kaa dagger, na heart ni soft kaa tofu/
wape hizo ma ‘thank you’ whatever they taught you/
iwe kubwa kaa atlas, au small tu!
mafans w-ngu mimi huwak-mbusha ‘ i love you’
but who ceases to be a friend, we jua was never one/
kila kitu ina urembo wake, si kila mtu ataiona
kula junk daily, haimaanishi utanona/
maneno ikishatoka kinywani, hauwezi ifuata/
ata na farasi faster, bila nare nawawasha/
si telly wananaswa, aswa nawabirth wakiwa tasa!
present teacher, the swahili shakespeare!
Random Song Lyrics :
- rex - lil hardsock lyrics
- marni - ssgkobe lyrics
- vezetői engedély - carson coma lyrics
- promise you - kyuhyun (규현) lyrics
- know how - phoenix rdc lyrics
- janji setia - tiara andini lyrics
- orange moon - achachak lyrics
- чёрный цвет (black color) - grimstroke lyrics
- mischevious val (og version) - valvirus lyrics
- first step - be:first lyrics