lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

papa - king kaka lyrics

Loading...

huu wimbo ni wako baba, natarajia uko salamaa…
nak*mbuka ulivyokazana, na sura yako papa nitakuk*mbuka oooh

okay
siwezi wadanganya, me sikuwa poa na my father
nilijionea kwa macho zangu wakidisagree na mother
kifaranga itakua jogoo, huone kama yai ikitagwa
i was a kid ’93, naik*mbuka kama jana
and that’s why, i rarely talk about him
na nlipromise mum next day ntaenda k*mwona hosi
deep within i was bitter, jua kadhaa zikapita
machozi kwa giza but nasmile in disguise
ati nimuache apone kwanza ndio apate nguvu ya ku apologise
hadi alitumana, i always blame myself for that
fursa tu, nikakataa kusay goodbye to dad
hiyo kitu huniuma hadi wa leo
wimbi zangu zimepotelelea kwa teo

(chorus)
huu wimbo ni wako baba, natarajia uko salamaa….
nak*mbuka ulivyokazana, na sura yako papa nitakuk*mbuka oooh wewee
papa papa papaa …..
papa papa papaa ….
papa papa papaa …..
papa papa papaa ….
ata nikisema asali mara ngapi
utamu hautafika kwa mdomo
ndo kitu nligundua vile tu nyi muliwa wadogo
sai mimi ni father of two, before mzaliwe mlikuwa kwa news
naomba baadaye mutanielewa, kwa sai me nitawalea
mnatoa meno lini, i wish mngekuja na manual
plus narespect mama zenu vile situation wali hundle
tumedisagree, tumego for days hatuongeleshani
ata maji sakafuni after day inapotea
nawish singeituma nikiwatazama it’s so good
na mimi sio perfect, hakuna moment naregret
busy kwa schedule and on set ndio muwe na chakula kwa plate
nawapenda niko njiani, kw*ngu everyday ni fantasy day

(chorus)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...