lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wewe - king ceejay lyrics

Loading...

yooh eyy
najua umeskia king ceejay
nilikua banging na still na nail
hakuna haja nichoche na uongo
whats your case mbona hustick na you ?
kwanza mafakes hawawezi realate
nilikua nakaza na stay alone ndio nipate time ni write a alot
alafu stay strong itabidi ume learn
kustick na code

how do you know?
vitu ni wrong ! * ( society )
how did you do it ?
did it with god ( christ)
mbona unacheza dice ?!
uskue mixed * society
uschenjiwe wewe !! what the f wewe ?
wanacheza games cat and mice
unajua sh*t na una nice ??
utakua true lini before demise ?
saahizi huezi ona , ” wee ndio wise ” !

eyy
hizi vitu ni confusion uskue kwa fusion
ni dillusion eyy
whats all these ? why do they do this ?
wanatu forcе tu agree na fake !
hatufollow ma fake sh*t !!!
kuharibu society * !!
wе uskubali hio ki hali eyy
mind your bizz kama umeskia yeah mind your bizz stick na right yeah stick na bizz stick na god yeah stick na him
eyy

watu tulidhani wanaeza tuokoa
walinyamazanga wakajikomboa
sisi mavijana tukajiondoa
kila mtu kwake life ni different *****
naskia wanasema
vijana wako kwa pombe, bangi,wizi ,nini?, wapi ? mtaani ….

where are those leaders wa huko mtaani ?
*instead of the cops* vita na haileti amani !

mbona wa publish kwa news ?
instead tusijisome tukiwa loose ?

hawa wengine wacha niwa challenge
mbona hamuongei vitu mbaya zikihappen
lazima tuletewe kwa news ????
lazima watu adie juice ????
ahhh
anyway…

kaa steel durability strong
me heaven ndio naita home
tia bidii utapata izo commas
kaa ni dream una tia tia more
kaa ni work unaongeza hard
kaa ni lane unastick na rules
only way utaget your ways
bad energy keep away !
these days nimekuanga opaque
hio physics so okay
me ni king ndio maana na use
my time ku try kua true !
eyy eyy

written by king ceejay
state of lords empire

i wrote this song so that you’ll always remember, you have a goal,a dream, a future, a purpose and a life to live
rember there is always a diference when you want to succeed and when you need to. * king ceejay

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...