mtaani - king ceejay lyrics
ahh check
ahh yeah
ahh check
ahh check
huku mtaani tunajikaza hakuna kurudi nyuma
na pesa akilini lakini mambo ni mingi
na big up ma youte wote pale tuu mtaani
na kazi zote tun*z*fanyia tuu mtaani
nkienda mbali bado narudi mtaani
east or west home is the best yaani mtaani
mbona saa ukose ku makinika mtaani
alafu unataka ati kuenda marekani
what the f !wee ni mtu wa aina gani ?
huku mtaani tuko safe tuko planning
kwanza nashukuru super metro sana
zinachunishanga doba tuu sana
kutoka juja mpaka tao
kuna mayoute kuna wazee
so me narap niwaelezee
mi ni mkenya we ni mkenya
me nataka usiwahi sahau
wee ni mkenya wee ni great
big up dere big donda
watu wa nduthi
kamaghera represented
ahh
mama mboga na ule mathee wa samaki
na ule baba nani mama nani
wauku serve kwa duka
fundi wa viatu
achana na wakubwa wеngine wao
hawaonangi watu
sura kaa kiatu
tumbo juu ya meza
adi me nawaza lakini najikaza
ahh
niko bs niko tao
niko nairobi in thе streets
area za kiambu na k!ll
bila murder nawazima
ilin lazimu
nkue maakini
kuna times me ni chimney
cheza tuu chini
saa una wish na ni real ?
siuki lit tukue lit
mi ni king nafuata wins
check
unajua life
vile inakuanga like a teacher
mbona saai uko janta ? lazima
unajua works ndio inafanya wee udishi
sina words most action ndio mingi
huku mtaani tunajikaza hakuna kurudi nyuma
na pesa akilini lakini mambo ni mingi
na big up ma youte wote pale tuu mtaani
na kazi zote tun*z*fanyia tuu mtaani
nkienda mbali bado narudi mtaani
east or west home is the best yaani mtaani
mbona saa ukose ku makinika mtaani
alafu unataka ati kuenda marekani
what the f !wee ni mtu wa aina gani ?
wee unajua value ya kua mtaani ?
ukisonga mbele uta big up mtaani
ukiwa kwa njia si unafikiria mtaani
ukiwa kwa daro kila saa ni mtaani
hata ukiwa kwa kazi kuna wazo za mtaani
kwanza nta salimu watu wote wa mtaani
big up watu wa thika
big up witeithie
big up watu wa highpoint
big up watu wa juja
big up watu wa k*road
big up watu wa kimbo
big up watu wa ruiru
big up watu realer
skia venye inapiga
ceejay basi imba
rap ishakua tiba
mind ishakua intact
kuna time inalipa
so hakuna shida
me, me ndio keeper
goals nasi post
me ndio host
na na toast
to my loss
juu niko poa nasiko poa
im the man so niko poa
king
yeah
tuko tuu mtaani …
written by king ceejay
state of lords empire
Random Song Lyrics :
- solidão a dois - maltines lyrics
- sonífera ilha - titãs lyrics
- tu amor es un sueño - tercer cielo lyrics
- agora é minha vez - fernanda porto lyrics
- se mulher fosse - joel amaral lyrics
- doido pra te ver - brasas do forró lyrics
- 24 horas - fabiano barcellos lyrics
- resposta pro empresario - mc leozinho do recife lyrics
- lei maria da penha - sandro caldeira lyrics
- amor de lejos (ft baby rasta & gringo) - jowell & randy lyrics