nikimuona - king baganda lyrics
(intro)
chiii pakiiiiiii enn ennn
am the king ohhh
(hook)
nikimuona moyo w*ngu una dunda dunda
popote utakwenda amini nitakufuata
shepu ka pewa
sura kajaliwa
nikimuona moyo w*ngu una dunda dunda
popote utakwenda amini nitakufuata
shepu kapewa
sura kajaliwa
(verse 1)
nimempa moyo huyo (nimempa moyo huyo)
nimuite nani huyoo (nimuite nani huyo)
ohhh karolina mamasita sinyoritaaaa
ohh my diva karolina utaniuwa aaaa
siendi kwa mwingine mi
aaaaaa aaaa
sitaki mwingine mimi
ennn ennnn
niuwe niuwe niuwe mama niuwe
niuwe niuwe niuwe baby niuwe
usha uteka moyo ohhh ohhh ohhh
my baby ushaubeba nafsi my bae ohh my be be ennnnn
nimekuwa silali usiku hadi ni lewe (hadinilewe)
nime mpata huyu sija penda mwengine (sija penda mwengine)
huyu anani penda my beby ohh my darling
huyu hatonitenda
ohh bebe give me your love baby do me do me ohh
my darling give me give me your love love
girl you de make me loolololo lololololo
you de make me lololololololo
enn ennn ennnn
nina mpenda
huyu
sitomutenda aaaa. chii aaaa
(hook)
nikimuona moyo w*ngu una dunda dunda
popote utakwenda amini nitakufuata
shepu ka pewa
sura kajaliwa
nikimona moyo w*ngu una dunda dunda
popote utakwenda amini nitakufuata
shepu kapewa
sura kajaliwa
(bridge)
nimempa moyo huyo
nimuite nani huyo ohhh
karolina mamasita sinyorita
aaaaa my diva karolina utaniuwaaaaa
siendi kwamwengine mimi
sitaki mwingine mimi
(hook)
nikimuona moyo w*ngu una dunda dunda
popote utakwenda amini nitakufuata
shepu ka pewa
sura kajaliwa
nikimona moyo w*ngu una dunda dunda
popote utakwenda amini nitakufuata
shepu kapewa
sura kajaliwa
Random Song Lyrics :
- der multitask-king - robin nosterafu lyrics
- views - asort lyrics
- impact, ep. 1 - zeggnaz lyrics
- junkie - pat symington lyrics
- bloom - baxtr lyrics
- billie vilion - valentina gaselia lyrics
- jésus sauve - dan luiten lyrics
- runaway - vision (metal) lyrics
- romeo - marlena martinelli lyrics
- what you did wrong - advik nigam lyrics