lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ni wewe - killy (tz) lyrics

Loading...

[intro]
tururururururu
mmm*mmmh

[verse 1: k!lly]
kama mapenzi ni uchawi
umeniendea ng’ende
maana, ‘nahisi nimezaliwa nije nikupende
ah, jangwani pakavu k*meota mtende
eh, waubani, waubavu ‘sema wapi twende
jua mapenzi ni siri, yaani toka enzi zile za mababu
usije uka ghahiri, baby
mazoea yakakupa taabu

[pre*chorus]
ahhh…
chu*chu*chu
basi nipe hata kiduchu
sifa ya mume; awe ana uchu
usiruhusu nikapiga puchu
ehhh…
chu*chu*chu
basi nipe hata kiduchu
sifa ya mume; awe ana uchu
usiruhusu nikapiga puchu
[chorus]
oh, baby you make me sing this song (ni wewe, ni wewe)
niwe (ni wewe)
i don’t wanna do you wrong (ni wewe)
oh, baby niwe
[drop native language]
ooh woo, woo, woo; woo, woo
ooh woo, woo, woo; woo, woo
ooh woo, woo, woo; woo, woo
eh
[drop native language]

oooh,mmmh

[verse 2: harmonize]
mapenzi asili yake upofu
na ‘unapo pendwa hupaoni
usishangaе mtu kuacha minofu
na ‘akala vya vichochoroni
halima, ‘kwa ajili yako ninajinyima
penzi nishakatia na bima
moyo w*ngu kata we ndio kisima
mmm, baby, baby
nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana hauoni hata tabu kuinama
na unapo lishika hilo rungu mwenzako vinywеle vinanisimama
[hook: harmonize]
ah
tu*tu*tu
usizinyoe, nikusuke mabutu
mkunaji kapewa ukurutu
yaani kama chuma kinaliwa na kutu
ah
tu*tu*tu
usizinyoe, nikusuke mabutu
mkunaji kapewa ukurutu
yaani kama chuma kinaliwa na kutu

[chorus]
i swear baby, you make me sing this song (ni wewe, ni wewe)
ooh*ooh*ooh
niwe (ni wewe)
don’t wanna do you wrong (ni wewe)
oh, baby niwe
[drop native language]
ooh woo, woo, woo; woo, woo
ooh woo, woo, woo; woo, woo
ooh woo, woo, woo; woo, woo
eh
[drop native language]
[outro: harmonize & k!lly]
he*he
(?)
leo k!lly kaja na tembo
yaani konde boy ‘tembo

ahhh…
chu*chu*chu
basi nipe hata kiduchu
sifa ya mume; awe ana uchu
uuuhh

…the mix k!ller

konde music worldwide

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...