covid 16z / corona - kidswahili lyrics
hook
hatukai kizembe * 2
tuna piga kazi, (hatuna mbwe mbwe * 2)
kwenye mishe pia tunajikinga na corona
kwenye mishe pia tunajikinga na corona
verse 1
yeah… yeah
unatafta watu wanatafta dough
watu wanaomba ushindi we unaomba draw
watu wanaona ushindi we unaona soh
haumuombi mungu though ndo maana unaomba poh
ila shoutout to the gang gang
baada ya kazi tuna hang na ku bang bang
kama hatupandi hatushuki tuta maintain
feki shingoni ana ma chain chain
k*mbe ndoto yake awe ki*ben 10
eti pesa sio laki eeh
kwenye party eeh
wakati eeh
nakotoka pesa ni bati eeh
huku jua kali eeh
i’ll make it rain kwa sunny day
iwe rainy day
mungu anijalie
kwa kila nachofanya
maisha yame*change bwana
siku anna na rama
siku hiz anna kwa anna
mawazo yangu mi chanya
ya kwako hasi ina maana
ki sayansi tutagombana
virus na sanitizers
yeah
hook
verse ii
check hizi sixteens
guess i am sicker than covid 19
i just k!lled they dreams
my flow tighter than they skinny jeans
kimewaka know we lit
kimenuka kime* stink
put the blame on april six
and the streets that raised the kid
came down from mateso
with the dream of balling kama deco
keep my ego low
now your highs be my lows
if you know, you know
na kama ipo ipo ipo
kama ipo ipo ipo
kama ipo ipo ipo ipo * 2
hook
outro
oooooh…. yeah yeah
apri six yeah, hatukai kizembe yeah
Random Song Lyrics :