lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sodom - kheed tazo lyrics

Loading...

intro:tazo
yoh!..heyy ..tazo..tha crook.. check it,, heyy
hoodrich gon’ pop on a nigha for the 8’s

chorus:tazo
nikona kiting kwa mnoko
biz ni ya koto sidai kua msoto
stick kwa skie… ju ya gwoko or upigwe ngoto utokwe stoko
speed… speed up morio sidai kua solo nyuma ni sodom
plizzz…biz ni ya guap so try kua brief ka euolo ya poko
nikona kiting kwa mnoko
biz ni ya koto sidai kua msoto
stick kwa skie.. ju ya gwoko
or upigwe ngoto utokwe stoko
speed… speed up morio sidai kua solo nyuma ni sodom
plizzz..biz ni ya guap so try kua brief ka euolo ka euolo ya poko (huh)..

verse1:sep & tazo
miezi tatu aj*pata kodi na nikiskia hodi anajua ni soki
usoni tunakaa vitu holi ngori ukiona matendo usoni
iza watchi amedoz rada safi so ni buti inabishanga hodi
umoroto nimejaza mbogi mahomi juu ya vitu same kwa longi
vitu nzito kwa longi lethal na bado kwa rodi hunitowi (check it)
seek hide out ndani ya ploti ugeuzwe steven dimanga ikuhoji
ubakishwe ka thomas morley court ko imekua pub hatuogopi
tumejipin vitu hufai kuona usoni alah ukispoti ni soki madondi

chorus: tazo
nikona kiting kwa mnoko
biz ni ya koto sidai kua msoto
stick kwa skie.. ju ya gwoko
or upigwe ngoto utokwe stoko
speed… speed up morio sidai kua solo nyuma ni sodom
plizzz..biz ni ya guap so try kua brief ka euolo… ya poko (huh)

nikona kiting kwa mnoko
biz ni ya koto sidai kua msoto
stick kwa skie.. ju ya gwoko
or upigwe ngoto utokwe stoko
speed… speed up morio sidai kua solo nyuma ni sodom
plizzz..biz ni ya guap so try kua brief ka euolo… ya poko(huh)
verse2:sep & tazo
mchana ametoka kuripoti lkni usiku alidoz kwa coffin mtoni
dikla ni kubwa makoti bigi ni pori ya kujaza mamokish
cjaribu kunicross right man haezi hold it na ni ngori nikimkoki
hessy alinitrace juu ya android lkni kitu alipata ni moshi na stori
ukapi kwa pori fala kuspoti alitolewa siaka ka mrogi
crime crime nafanya inarhyme kitu mi hulike ni irori
mask on man na ushut iyo beak hide iyo face wasinotice
unalaugh na nani?enjoy kua fan yap uokotwe mtoni

chorus:tazo
nikona kiting kwa mnoko
biz ni ya koto sidai kua msoto
stick kwa skie.. ju ya gwoko
or upigwe ngoto utokwe stoko
speed… speed up morio sidai kua solo nyuma ni sodom
plizzz..biz ni ya guap so try kua brief ka euolo… ya poko(huh)

nikona kiting kwa mnoko
biz ni ya koto sidai kua msoto
stick kwa skie.. ju ya gwoko
or upigwe ngoto utokwe stoko
speed… speed up morio sidai kua solo nyuma ni sodom
plizzz..biz ni ya guap so try kua brief ka euolo
outro: kheed tazo
yo! sep

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...