sina mali, sina deni (free) - khadja nin lyrics
ahiya, ahiya
kwa baraka
mimi napona
kabisa, ni hajabu
sina mwili tena
niko sawa upepo
mimi masikini
sina mali mali, sina deni
mali yangu baba
ina nyesha kama mvua
ina ruka kama ndege
ina cheka kama mtoto
ahiya, mam’ahiya
sina haja, ya kitu
mimi napona
i’m free, kama maji
anatembeya mpaka katika pori
mimi, mi masikini
sina mali mali, sina deni
mali yangu baba
ina ota kama maua
ina pita kama nyota
ina waka kama jua
pole pole mama
wakati w-ngu umefika, mimi napona
i’m free, kama hewa
ina ingiya mpaka fasi inapenda
mimi, ni masikini
sina mali mali, sina deni
mali yangu baba
ina ona kama macho
ina waka kama moto
ina lia kama ngoma
i’m free kama maji
ana tempaka mpaka kati ya pori
kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
kama mimi leo, mimi napona
i’m free, i’m free
kama mimi leo, mimi napona
ahiya mam’ahiya
sina mali, mungu, sina deni
Random Song Lyrics :
- like the phoenix - rainbow123 lyrics
- gettin' money music - zaybang lyrics
- chacun son parcours !! - vraimentriche lyrics
- a tu lado - flou lyrics
- joy is a crime - soft kill lyrics
- 寂寞英雄 - 方力申 lyrics
- million dollar mew - baldi vs mrbeast - juicy john lyrics
- rho - shawnny 2x lyrics
- наш світ (our world) - nito from v. lyrics
- когда я проснусь (when i wake up) - 6alive (sixalive) lyrics