lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

free (sina mali, sina deni) - khadja nin lyrics

Loading...

ahiya, ahiya
kwa baraka
mimi napona

kabisa, ni hajabu
sina mwili tena
niko sawa pepo

mimi maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
nanyesha kama mvua
naruka kama ndege
nacheka kama mtoto

ahiya, mama ahiya
sina haja, ya kitu
mimi napona

i′m free (ah*ah) kama maji (ah*ah)
natembea mpaka katika pori
mimi, mimi maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
naota kama maua
napita kama nyota
nawaka kama jua

pole pole mama
wakati w*ngu umefika, mimi napona
i’m free, kama hewa
naingia mpaka fasi inapenda

mimi, ni maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
naona kama macho
nawaka kama moto
nalia kama ngoma

i′m free (oo*oo) kama maji (oo*oo)
natembea mpaka katika pori
kama hewa, kama macho, kama nyota, kama maji
kama mimi leo, mimi napona
i’m free (kama hewa, kama macho)
i am free (kama nyota, kama maji)
kama mimi leo, mimi napona

ahiya (ah*ah) mama ahiya (ah*ah)
sina mali, mungu, sina deni

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...