siwawazii - kerly d lyrics
siwawazii
aaah kajoro
mmmmh mmmh
iwe simanzi na huzuni, furaha namengine
yote ni maisha yangu, nisha zoea
nacho shukuru najiamini, siyawazi ya wengine
chakw*ngu nibora kw*ngu, ndo nicho tegemea
aaah
meli inaelea, na inazama shilingi
aaah dunia, ina mambo mengi
wanakuchekea, ila myoni hawakupendi
yanaumiza ya wa ulimwengu
nataka mjue mwaka huu nime change
aaah sio wakile kipindi
ninawaza kuzishika shilingi
niko bussy na mambo yangu
mmmh, hata marafiki, walo ninafikia
siwawazii tena aaa ah, siwawazii tena, aaah
hata yule ex, alie ni cheat
simuwazii tena aaa ah, simuwazii tena
iyeh aeeh!
aaae siwawazii tena
aaae siwawazii tena
aaae siwawazii tena
aaae siwawazii tena
ooyah weeh!!
siwawazi hata wale mastaa
nilo wapigia simu waka kata
najiamini mwenyewe ni fighter
nita toboaa, aaah
mola nionyeshe pakupita
nisiwadhalau watu nisije jikuta
mana maisha yana badilika
ninajiombea aaaah
baba alisema mwanangu eeeh
chandugu sio chakw*ngu
pambana tafuta vyako
mtunze na mama yako
ila, kuna furaha isio faida
viso halali vinaletaga shida
vishawishi nivingi
jitahidi ushinde
mmmh, hata marafiki, walo ninafikia
siwawazii tena aaa ah, siwawazii tena, aaah
hata yule ex, alie ni cheat
simuwazii tena aaa ah, simuwazii tena
(mwenzenu sikuhizi nimesha jipata)
aaae siwawazii tena
(eeeh niko busy n*z*saka pesa)
aaae siwawazii tena
(mi siwazi
n*z*di kuzichangachanga karata)
aaae siwawazii tena
(eeeh niko biii hiiii )
aaae siwawazii tena
(yiiiii iiih hie hie)
Random Song Lyrics :
- stuck in a zoom (weekend) - lil broach lyrics
- chain (romanized) - nct 127 lyrics
- u-bahn - pink katana lyrics
- ihr macht unsren sport kaputt 2 - m.i.k.i. lyrics
- aspetto che passi - air maska lyrics
- roses - the band camino lyrics
- impulse - brian hyphen lyrics
- f9 v2 - don toliver lyrics
- idc - mikayla jade lyrics
- bajki - smutnyjohnny lyrics