lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nakusubiri - kerly d lyrics

Loading...

nakusubiri
yeeeee!
aaaaaaa!
my love my love my love my looove
eeeeee!

verse 01
ah wanasema ahadi ni njema aah
kwenye mapenzi
uliniahidi hutokuja kuniumiza
nika kuona kama chanda chema aah
nikakuenzi
k*mbe sikujua sawa na usiku wa giza eeh
k*mbukizi za zamani kwenye moyo w*ngu
zin*z*di nitafuna
jinamizi la sunami kwenye ngome yangu
limeibomoa mazima

bridge
yani hata mala moja ungesema hapana
nisinge lazimisha
hadi nikuzoe ee ee ee
hata hukungoja umeniacha kweupe mchana
kinacho sikitisha
hukutaka nijue we ujue bado
chorus
nakusuniri nakusubiri bado
nakusubiri ubadilike baby aaa
nakusubiri nakusubiri bado
nakusubiri ubadiliiikeee eee

swahili wewe
we acha tu
nana nana nana

verse 02
najitahidi kupiga moyo mateke
maana kwa konde umekataa
huenda nitakusahau
yatapita
umefanya machozi yanitoke
kila nikik*mbuka
zile mbwe mbwe kwa wadau
na post na picha
chondе chonde chonde
usiendе mbali usiende
moyo w*ngu unautia wembe
unauchana chana
wenge wenge wenge
wivu unafanya nikonde
mapicha nayavutia
labda unagawa kwa wana
bridge
yani hata mala moja ungesema hapana
nisinge lazimisha
hadi nikuzoe ee ee ee
hata hukungoja umeniacha kweupe mchana
kinacho sikitisha
hukutaka nijue we ujue bado

chorus
nakusuniri nakusubiri bado
nakusubiri ubadilike baby aaa
nakusubiri nakusubiri bado
nakusubiri ubadiliiikeee

badili badili
badili badilike
badili badili
badilike

yeah man on negro
bad love make me go crazy
so i fail man halaah

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...