furaha - kerly d lyrics
chorus
aaeeee! eeeeee
leo furaha tu leo furaha tuuu
leo furaha tuu
aaeeee! eeeeee
leo furaha tu leo furaha tuuu
leo furaha tuu
verse 01
ah vipi mwenzangu
enhee
hali yako kama yangu
leo nimekuja kufurahi
nijitoe nishai
sitaki stress na mtu
niliko toka nama janga
ooh yeah
shemeji yenu kani bwaga
by the way am live like sordier
naweka shida chini
nanyosha grass juu
one! two! three;;
aasa cheza kama vile hauna shida
cheza kama vile hauna shida
cheza kama vile hauna shida
cheza kama vile hauna shida
chorus
aaeeee! eeeeee
leo furaha tu leo furaha tuuu
leo furaha tuu
verse 02
aa mina vibe to day
mi na vibe today
nimetoka kuzisaka pay
kuzisaka pay
aa mina vibe today
vibe today vibe to day
aa mina vibe today
nimezipata pay
nilikotoka na madeni
ananidai mangi dukani
by the way am livе like sordier
naweka madеni chini
na nyosha grass juu
one!,two!,three!;
aasa cheza kama vile hauna madeni
cheza kama vile hauna madeni
cheza kama vile hauna madeni
cheza kama vile hauna madeni
chorus
aaeeee! eeeeee
leo furaha tu leo furaha tuuu
leo furaha tuu
aaeeee! eeeeee
leo furaha tu leo furaha tuuu
leo furaha tuu
Random Song Lyrics :
- интро (intro) - нонконформистка (nonkonformistka) lyrics
- portfolio - jabo lyrics
- my girl friday (feat. john wolf) - woody pond lyrics
- devolve, moço - ana cañas lyrics
- escape from new york - bright campa lyrics
- take her away - våke lyrics
- saving it for you - cjbeards lyrics
- brand new tracksuit - alo thadeus lyrics
- dead music for the living - dead born babies lyrics
- believe in love - all night radio lyrics