lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

poeza - ken demacra lyrics

Loading...

ken demacra
poeza lyrics
intro
dollar boy oyeeeh

verse 1
leo nimeona nikuje kwako hata siogopi
(aaaaiiiiiih)
the love of my life sitakuwacha kwa shida
(aaaaiiiiiih)
nimengoja sana nikupimie nakupenda
(aaaaiiiiiih)
wenye wameposesiwa na chuki washike njia
(aaaaiiiiiih)

mapenzi kama darasa (darasa)
tufunzwe kama hisabati (hisabati)
upole wako urembo wako tuombee kila siku

leo nimeona nikuje kwenyu niwaoleze na wao
hata niko tajari kuzungumza nao
najua ni ngumu nilinganishe na mbao
tena sina nikununulie za mbao

ila sij*penda (sij*penda)
k*mpoteza mrembo kama
(kama wewe)
moyo w*ngu nakupa wewe wewe (aaaaiiiiiih)
moyo poеzee poezeee poezee
sasa poezee
moyo w*ngu poеzeee
poeza moyo sasa poezee
moyo poezeee w*ngu poeza

verse 2
nimeona buda wako mkali sana
hataki kuona mtu karibu nawe
mimi tatizo sina
nafikiria hata uhuna wewe
wasiwasi amani hapa hakuna

nikutazama macho naona nyako
eti jonny boko
moko moko
upendi koko

tena nikipewa nafasi
moyo w*ngu hutulia basi
ikuwe refu mita ya basi
nakulinda kama kikosi

naamini utasikia maneno haya
jina lako tamu unaiitwa leya
style zako za nywele sio mbaya
mazungumzo yameshika usikate waya
sasa poezee poezee poezee
moyo poezee
moyo w*ngu poezee
sasa poezee poezee poezee
moyo w*ngu poezee
poeza poeza poeza
moyo w*ngu poeza

asubuhi nikiamka nakuona
usijeniacha tena
carroti za limuru tunatafuna
unanifururaia yes bana

sasa poeze poeza poeza
moyo poeza eeeeh
moyo w*ngu poeza

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...