lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

monica - ken demacra lyrics

Loading...

ken demacra
monica lyrics
intro
dollar boy (oyeeeh)
verse 1
monica you go k!ll it (you never know)
chini kwa chini washangaeee ( odada deee)
give thanks to the mighty (you never know)
bega kwa bega washangaeee (odada deee)

mbio imefika hundred mita (oyeyeh)
utoke kama mnyama chita (oyeyeh)
maembe yameiva kwenye miti
paka ovaaa kwenye chapati

be careful sistee (you never know)
mwendo wa kobe tunaenda (odada deee)
wasijekutuchapa matope ( you never know)
kuwa makini na wao (odada deeee)

wanakuona kwa mbali
wamegeuka fisi
wanakuwindi kwa ndani
mistari zao risasi

chorus
ooooh monica
skiza monica
oooooh monica
skiza monica
ooooh monica
verse 2
advice ya pili
advoid nguo fupi
maana jua ni kali
limeshinda hata puppy

mate wanak*mezea
korido wamekupangia
maraondi wanakupigia

hata usikubali kupewa lift
maana atakwamhia sh*t
atakuguza tight
mchezo hiyo imehit

unajua dunia imejawa na rahaa
sasa wewe nakuona
ebu tulia kwanza
uko kwenye kwanza

(pre chorus)
wenakuona kwa mbali
wamegeuka fisi
wanakuwindi kwa ndani
mistari zao risasi
(chorus)
ooooh monica
skiza monica
ooooh monica
skiza monica
ooooh monica
skiza monica

give me one two
give me that girl
teach me something
teste for me something

oooooh monica
skiza monica
oooooh monica
skiza monica
vipara rararararara

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...