kimya - ken demacra lyrics
ken demacra
kimya lyrics
intro dollar boy oyeeeh
leo asubuhi mwema hata jua limetoka lina waka
maisha yangu bana
mawazo yangu bana
ooooh kenya yangu
naomba sadaka kila mlango kama tax collector
maisha ya maribu
hata pesa nikipata naona sigara
eti pombe wanauza
bangi wanachoma
nitoke mombasa niende nairobi
jana nilisikia kuna kazi
kazi ya ofisi
zingine za hoteli
mimi na vihere vyangu
nilisikia kuna kazi
keshoee nikafunga mzigo nikaanza safari
kufika walai eti dollar boy
wapi karatasi
na shule niliacha
magonjwa yanakolea
kidonda cha umaskini hakij*pona
machozi yangu yanatiririka
uongo kila kona
eti waliimba rhumba
wananichanganya na bongo flava na rhumba
kati sauti sol ethic gani wakali
wote wanajaribu
hata kuusa maji kwa stage nimejaribu
yote naona aibu
hata kuketi na dem mrembo naona aibu
basi mimi niwambie
maisha sio rahisi hivyo
nifunge macho nilie
wacha mambo yale yalivyo
kukusali omba sana
nitulie bana nisionge bana
nikae kimya aaah
nitulie bana nisiongee kimyaa aaah
nitafanya nini
mateso yangu yatakwisha lini
kazi ninatafuta usiku mchana hakuna kulala
uso yangu umegeuka nakaa mnyama gorilla
siwezi differentiate stella na pamela
ooooh kenya yangu
wazazi wanitegemea
ugomvi umechechemea
wivu yamekolea
mimi na mapenzi leya
mara dandora ama kibra
eti yetu nimesikia amepigwa risasi bila makosa
wananisalimia sasa
na sheng ya kisasa
eti waliimba rhumba
oooooh kenya yangu
kisumu mpaka nairobi mguu tupu
nakunywa maji kwa njia kama bear mzinga
ooooh kama shida niambie
nyathi maber koneni toyuak
habari za radio zinasisitiza
mimi niwambie
maisha sio rahisi hivyo
nifunge macho nilie oooooh
kimya kimya
Random Song Lyrics :
- beast - izaac lyrics
- long long time - cory wells lyrics
- 오지 않는 널 (wait for you) - haebin lyrics
- unindo todas as tribos - o norvana lyrics
- klasyka gatunku - mc rafaello lyrics
- love - koukitsu lyrics
- end of the line (siberian jay) - ice eye lyrics
- 16 lignes - heiachi lyrics
- bad man (kordhell remix) - disturbed lyrics
- alle dør alene (intro) - d1ma lyrics