subiri - keitsea dfm lyrics
uu ooo uu oooh
ips [indoor production studio]
(intro)
keitsea dfm aah aah aah
subiiri subiiri
iremond mmmmh
atatenda ei eeeeh
[verse 1 keitsea dfm ]
kama siri ningemficha (ooh)
awe w-ngu siku zote (ooh)
nitoe ushuhuda w-ngu yaliyofungwa mola afungue (ooh)
nia kwanza na ungemwelezaaa (uu oo uu oooh oh)
kuliko toa uamuziiii
nia kwanza na ungemwelezaaa (uu oo uu oooh oh)
kuliko toa uamuziiii eeeeeh
nimwite vipi
nimweleze nimjue
mzazano ni wa nini
haufai
[pre chorus]
nimwite vipi sauti gani k-mtesa si k-mwelekeza
sio kosa lake msamehe
na iwe siri ya k-msubiri
[chorus – iremond]
subiri ei ei eeeeh
na kwa imani yako
maombi yako ooh
atatenda aa
subiri wee subiri wee (ooh)
(subiiiiiriiiiiii)
subiri wee subiri wee kaka
iyeeeee
mmmmmmh mmmmh
[verse 2 iremond]
na kwenye mitego mingi
niwe nawe yesu pekee
ni maovu yetu sisi yanayofanya unatuacha
tunalia kuna crime (ooh oh)
nauliza nani wakora (hao) mmh
tunlia kuna wezi na macho yetu wezi wakubwa
tunalia kuna wezi na macho yetu wezi wakubwa
subiri wewe wewe oooh
subiri wewe wewe ee
mola atatenda aaa
uu ooo uu oooh
(diong for majesty)
keitsea and iremond creation
ips
subiiri subiiriiiiii
ooh ooh ooh
uu ooo uu oooh
ooh!
Random Song Lyrics :
- coração de vento - beth guzzo lyrics
- mess - daniels gone lyrics
- jonotusmusa - plutonium 74 lyrics
- spoko - blaklez lyrics
- söz verdim - sansar salvo lyrics
- $x$=$ - nicólas soul lyrics
- we hear we do we finish - jon williams lyrics
- 2 much - neon december lyrics
- used to - sadboistacy lyrics
- miód - malinka lyrics