lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

umeniweza feat linah - kayumba lyrics

Loading...

umeniweza baba, umeniweza mama

tulivuka viunzi pamoja kwa kushikana mikono
ukawa upande w-ngu mwili mmoja hatukuishia kwenye midomo
shida matatizo tulivuka pamoja
haukunitupa mkono
ukanifunza mapenzi njia moja
michepuko ina vikomo

hukupagawa na hili jibu kati yaani
tamaa hukuipa nafasi yaani
ukanitia moyo nitapata nami
kwani ridhiki mtowaji maanani

hukupagawa na hili jibu kati yaani
tamaa hukuipa nafasi yaani
ukanitia moyo nitapata nami
kwani ridhiki mtowaji maanani

nijivunie nani kama si wewe
mengine sitamani vyote napata kwako wewe

ooh unajua kunichombeza
ooh hodari wa kubembeleza
ooh wewe pekee unaniweza
ooh kama mboga na kombeleza

ooh unajua kunichombeza
ooh hodari wa kubembeleza
ooh wewe pekee umeniweza
ooh ukinishika najilegeza

umeniweza baba, umeniweza mama

ooooh
tabasamu mpenzi w-ngu tujenge family
sasa uwe baba wa wanangu nikuzalie mapacha
una kisu kikali, kula nyama usijali
si unajua silali, bila kufika safari
tule chumvi na tuufike uzee
wa minya minya nyanye tuwapuuze
kabla kulala unipigie zeze
kitandani linibembeleze
nijivunie nani kama si wewe
vingine sitamani vyote napata kwako wewe

ooh unajua kunichombeza
ooh hodari wa kubembeleza
ooh wewe pekee unaniweza
ooh kama mboga na kombeleza

ooh unajua kunichombeza
ooh hodari wa kubembeleza
ooh wewe pekee umeniweza
ooh ukinishika najilegeza

kunichombeza
kubembeleza
umeniweza
kama mboga na kombeleza
kunichombeza
kubembeleza
umeniweza
ukinishika najilegeza

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...