lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

move on - kayumba lyrics

Loading...

[intro: kayumba]
mmm, mm
ona, na, na, na
(ma*feeling make it)

[verse 1: kayumba]
bye, bye
ndio neno langu
nimekuswafia
kuondoka [?] sura ya
kuliko kuyak*mbatia, ah

[verse 2: kayumba]
sababu nakupenda unajua
siwezi fanya tofauti
naona nguzo zishakauka anua
nimeridhika na kibuti

[verse 3: kayumba]
penzi furaha, penzi jeraha
usije nikuta umauti
naona nguzo zishakauka anua
nimeridhika na kibuti

[hook]
amini nipo [?]
kinto kacho kinywani si haramu
na mimi ni binadamu
haya maumivu kwa damu
mm, mm
[pre*chorus]
sababu nakupenda unajua
siwezi fanya tofauti
naona nguzo zishakauka anua
nimeridhika na kibuti

[chorus]
si kwa ubaya
nime move on
si kwa ubaya
nime move on
si kwa ubaya
ah, nime move on
si kwa ubaya
ah, nime move on

ah, aah, aaah

[verse 4: sharara]
si kwa ubaya nime move on (move on)
maana sili hata na usiku silali
ah, najiuliza nini hiki
wamekishindwa madaktari
ahe
ah, najitahidi simama, siwezi
mtoto rudi kwa mama
ah, sharara simama
penzi limeni*k!ll nyang’anyang’a
ah, labda we ulitaka kuniua?
(kuniua)
ama nilikosea kuchagua
ah, ya kushona mi ni katatua
asa ndio picha limeungua
[pre*chorus]
sababu nakupenda unajua
siwezi fanya tofauti
naona nguzo zishakauka anua
nimeridhika na kibuti

[chorus]
si kwa ubaya
nime move on
si kwa ubaya
nime move on
si kwa ubaya
ah, nime move on
si kwa ubaya
ah, nime move on

(ma feeling make it)

[outro]
labda we ulitaka kuniua?
(kuniua)
haya maumivu kwa damu
mm, mm

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...