maumivu - kayumba lyrics
mmh (moko mooko)
kidume ninasuk*ma ukuta na nguvu yangu si
sawaa, najipa imani nimefika aah k*mbe mi kwake chawaa
kidume ninasuk*ma ukuta na nguvu yangu si sawaa,
najipa imani nimefika aah k*mbe mi kwake chawaaaah
bola ntafute chocholo yangu ya pekeeeeh vya watu nisijevunjwa mbavu
nami mnyongeeeh kushea sio lengo langu
nisamehee, natetea hisia zangu nisipoteee
nilijua wanipendaaa nami
nakupenda sanaa aaaah
tena nimesalenda zimenishinda zako tamaa
nilijua wanipendaaa nami
nakupenda sanaa aaaah
tena nimesalenda zimenishinda zako tamaa
asante kwa maumivu
ayaa aaa ayaa
eh huna huruma
ayaa aaa ayaa
huna hurumaaaaa
mama mama mama mamaaaama
ayaa aaa ayaa
(asante kwamau, kwamau, kwamau,)
tabia kama dini,
kabila huwezi badilisha umezoeaaa akaa nakupisha nimejichokeaaaa
umenifanya lofaa,
siwezi lala bila kukuona na
nikaokokaaaa kwa dini yako nisije kukukosa
ulinifanya lofaaa,
siwezi lalaa bila kukuona na nikaokoka kwa dini yako nisije kukukosa
nilijua wanipenda,
nami nakupenda sana
ayaa aaa ayaa
ila nimesalenda sipendi shida zako tamaaa
nami nakupenda sana
aya aaa ayaa
ila nimesalenda, sipendi shida zako tamaa
asante kwa maumivu
ayaa aaa ayaa
huna huruma
aya aaa ayaa
huna huruma
aya aaa ayaaa
asante kwa maumivu
aya aaa ayaa
aya aaa ayaa
eeh eeh
Random Song Lyrics :
- replica stick - scopia demon lyrics
- when the sand cries - dissenter lyrics
- free fall - matthew campbell lyrics
- who's that - andrew chris and dante. lyrics
- chachi piruli - diego dominguez lyrics
- mixed feelings - cico p lyrics
- май (may) - ray4ik lyrics
- vapor - the harbor lyrics
- nate is straight - the smittens lyrics
- hobo sapiens - the pallet jacks lyrics