mapenzi yanauma - kayumba lyrics
[intro]
oh yeah oh oh
oh, hey, ay
oh
nimebadili, nimeshindwa
(mafia)
nimebadili, nimeshindwa
wapi nitaiweka sura yangu
samaki (mi ?) au kupinda
amejirudi, amekuwa hasara kw*ngu
oh, oh
hasidi, hasidi
hana sababu hata akisingizia, mh
laazizi, mkaidi
hatofaidi labda siku za bia
najifosi, usikate tamaa
ya kupenda j*po inaniuma
kinacho niuma muda, muda
nimepoteza ‘we hapa ni [uda]
mpaka yakanizidi
nilivyo zama bwi, mbwi
nimenyauka waridi
kwa k*mwagiwa [acid]
jamani mapenzi yanauma, ah
mapenzi yanauma, ah
oh, oh
mapenzi yananiuma, ah ah
mapenzi yanauma, ah
(instrumentals)
bora ungekuwa mkanda wa dvd
nyuma ningerudisha
ulifanya siambiliki, sisikii
yaani ukaniviringisha
mmm
nimetamani mapenzi
kuna namna yameungana na nyama
hisia zanipelekea, siwezi
k*mbuk*mbu zagandamana
najifosi, usikate tamaa
ya kupenda j*po inaniuma
kinacho niuma muda, muda
nimepoteza ‘we hapa ni [uda]
mpaka yakanizidi
nilivyo zama bwi, mbwi
nimenyauka waridi
kwa k*mwagiwa [acid]
jamani mapenzi yanauma, ah
mapenzi yanauma, ah
oh, oh
mapenzi yananiuma, ah, ah
mapenzi yanauma, ah
(instrumentals)
mafia
Random Song Lyrics :
- kaupungin lapset - tiktak lyrics
- a voz que vem das ruas - nego mola lyrics
- reptil - la barranca lyrics
- otw - the sorority lyrics
- i like - qkumba zoo lyrics
- tabu - michelle (deutsch) lyrics
- been a long time - rapbaum lyrics
- altar of god - boysetsfire lyrics
- mrtvi čvor - bole tarantino lyrics
- ich schieß auf beamte - farid bang lyrics