pressure - katapilla lyrics
[intro]
woo!
k!ll ’em all
it’s a collectible
yeah
[chorus: hassano]
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu (yeah, yeah)
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu
[verse 1: katapilla]
yeah, uh, i’m so rogue like aboud rogo
dope lines kaa na*push coco (coco)
ni si ndio huwa tunasumbua kwa soko
mehn i’m all up in your faces ka ile ogopa deejays logo (grrr)
n*ggas trynna test me, mi sijali mock me (nope)
you can’t put me in a box you can’t lock me (nope)
when i pull up with the light n*ggas smokin’
my rong cypher vеrse, it got everybody talkin’
lifе ni gamble unaweza dedi juu ya ku*roll dice
wiki mbili silali niko studio tu for fortnights
strictly wera ukiniona online
family first, everything is alright
it’s my legendary phase you can see it in my repertoire (facts)
niangushe album mbili alafu niende dar
grown man sh*t kitu ime*mature
hawa ma*amateur, i’ma show them how we get the bag
[chorus: hassano]
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu (yeah, yeah)
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu
[verse 2: hassano]
yeah, mdogo mdogo on toes niko chuga
fully loaded na mwanangu leo tunachana kaa mbuga
kata alinipigia simu faster nikaita uber
na nikajipin na msuba
yeah, so why you hatin’ brother punguza kelele
na uwachange wivu ka medi wacha kagere
vile nawabeba wabeba mi ndio kadere
we una tabia za ngedere
block is hot nimewaka, n*z*disha fracas
huntin’ in the jungle nawaachia ma carcass
silly rappers, ka naifanya naifanya proper
direction muhimu everything niko na purpose
in the family n*z*disha upendo
hustle hard, every season u*raise the tempo
na kwa wanangu wa kitaa hopu sana
mdogo mdogo tutafika tunapotaka
[chorus: hassano]
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu (yeah, yeah)
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu
[verse 3: sewersydaa mkadinali]
man*a driller
mdogo mdogo tusipoteze mguu
sishuki chini acha nililie tu juu
stoki chini saa hata naenda ku*do?
jeshi ya koto imehamia huku hood
early bird nimerauka mi ndio customer wa nzakwa
kigonyi angasa kwa hizi streets za anasa
kipochi ikinena haswa hapo utanaswa
anua kitu yoyote inakaa imetandazwa
niko handas, makali, na jaba
ganja hunifanyanga nikose fab
ama labda hauna vybz, enda ukaskie palmer
niki*buy hunters na*expect hata tumbler
mambo kabla kabla ukitense hio ni pressure
flight to addis ababa beast naifuata pemba
leo hatuko biz tukilala bado pesa
leo hatuko biz tukilala bado pesa
[chorus: hassano]
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu (yeah, yeah)
tuko mdogo mdogo, how we movin’
mwenda pole hajikwai you know how we do
bado tunawapa pressure, pressure, na sukari zote zinapanda juu
Random Song Lyrics :