lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mteja - kart lyrics

Loading...

intro:
[interlude]
samahani mteja wa nambari hapatikani
samahani mteja wa nambari hapatikani

hook:
samahani mteja wa nambari hapatikani
anasaka hela iwe mchana au gizani
unamtakia nini huwezi mpata yuko kazi
mziki kwetu kazi ka ni mchezo tupee jersey
samahani mteja wa nambari hapatikani
anasaka hela iwe mchana au gizani
unamtakia nini huwezi mpata yuko kazi
mziki kwetu kazi ka ni mchezo tupee jersey

bridge:
mmmh
me na chapa kazi msee
huwezi pata nikilala i hustle everyday
hivi ndio naishi siezi ifanya any other way
hivi ndio naishi siezi ifanya any other way

verse:
hivi ndio naishi siezi ifanya any other way
saka pesa kila siku i think it’s in my dna
chapa kazi kwa mic nikama sina holiday
rappers wengi bado wakilamba h-ga air plays
and when i k!ll the show you better pay up
mama told me son you have stay up
forever pulling shots am on way up
body bagging n-ggas till the cheque up
dogding cases taking bags i stay learning ah!
keep the sh-t on flame mehn it keeps burning ah!
peeping on my phone cause i keep earning
mullah mullah till am rich kings money

hook:
samahani mteja wa nambari hapatikani
anasaka hela iwe mchana au gizani
unamtakia nini huwezi mpata yuko kazi
mziki kwetu kazi ka ni mchezo tupee jersey
samahani mteja wa nambari hapatikani
anasaka hela iwe mchana au gizani
unamtakia nini huwezi mpata yuko kazi
mziki kwetu kazi ka ni mchezo tupee jersey

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...