lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

umependa - kapaso bkp lyrics

Loading...

shiii beberuu

nakugalamia kukuacha ndo siwezi
nisha foll love kwanza na uchungu wa mapenzi
na tukigombana kwanza natokwa na machozi
oooh ukinicheet utanikuta na kitanzi

jua aaa
oooh moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
dulla bass moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
ooh moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa

haupangiwi moyo umempenda moyo w*ngu
haurazimishwi moyo ameziteka isia zangu

moyo una sifa na mamlaka ya kupenda unacho taka moyo ooh
moyo moyoo utanuka upendo ata uu tupe dampo moyo ooh

moyo moyo unaenda mbio
moyo moyo w*ngu haukomi
moyo ndo ivo sina salio
moyo nilishe ata kwa ulimi

oooh moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
dulla bass moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
oooh moyo w*ngu kirema moyo w*ngu umependa
aya mama karia ugoko acha utoto miuno paka chongo hii baikoko
karia ugoko acha utoto miuno paka chongo hii

moyo una sifa na mamlaka ya kupenda unacho taka moyo ooh
moyo moyoo utanuka upendo ata uu tupe dampo moyo ooh

moyo moyo unaenda mbio
moyo moyo w*ngu haukomi
moyo ndo ivo sina salio
moyo nilishe ata kwa ulimi

kapaso kapaso kapaso apa g*nius from tanzania

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...