dunda nayo - kalimani lyrics
(chorus)
wameshatuchosha na kapuka zao/
wakikupima sana bana vunja hao/
tukishaseti ngoma sasa dunda nayo/
dunda nayo… dunda nayo/ x2
[verse one: kalimani]
kuna ma-wanna be, ma-rapper maji maji/
kazi ni kuchocha na kushukisha kipaji/
ku-drop vitu whack bila kufata kanuni/
na wengi wao small shinda jim nyakundi/
okay, the gospel kwa pulpit ya posted/
ni kuspit ma-conscious na kusplit ma roasted/
hospice accosted na stoners wako toasted/
fan base ya coast itu-host kwa ma-concert/
abbas-abbas aki-p-ss p-ss ma-puff puff/
kimathi marshall kwenye vush na ma lager/
chris to the k, akirain na ma chrystal/
mr. labalaa, ako juu ya laa/
mi ni mkenya bana kama cubanotics/
vako ni za hip hop, njaro ni za noti/
mapesa za bobby, mapresha za poxy/
r.i.p to g-wiji yaani miti/
(chorus)
[verse two: kalimani]
saluti full kwa chiwawa man, that’s my dog/
dunda nayo, dunda nayo man.. that’s my song/
naskia ni kama, nitafsiri hii sanaa/
joh ni zamani sana, tuskie kalamashaka/
kama judge mi nakuanga na ‘illness’/
ku-blaze na mabuda man, what is the business/
freestyle na xcalibur, fans go xtatic/
ukiuliza man njoro.. “mi najuaga rabbit”/
mi si msick, nina genetic disorder/
the trouble i bring ishafika level next/
uliza doubles deff… punchlines kila kina/
ka kakitu hauromi.. achia ma-g*nius/
x-ray vision tukibattle na ma-warlord/
hustler kama jay akiroga kwa supreme court/
nikiandika mistaree.. fikra zangu teule/
nakuja na noma ka musyoks, tosh na big mic/
(chorus)
unadai number one ama ukue number nane/
upigwe na ma-bamboo mpaka nywele zisimame/
nimengoja miaka nane nikitrack wale marobber/
wa kusanya mistari na sio ma-klepto, kwa ngoma/
unafaa kuogopa vile joh kuna ma dj/
watakucheza shere track yako itupwe nje/
wanamanga wasanii ni ka mazeh hao ni ma cannibal/
watak-mess up kwanza na letters za capital/
mwanahesabu vile track zangu kali/
the translator, si unajua, kalimani/
fresh ka kitu sewer amedunga label za k-swiss/
kuspit mimi ni mutant, attacking any nemesis/
flow ni fluid, naroga vi-liquid/
k!ll strangers na d major… kwani hunyiti/
sharp shooter kama sniper ama wire iko na barbz/
plus niko na bars, hiyo ni point blank… period!
(chorus)
Random Song Lyrics :
- begin again - norah jones lyrics
- the wind & spark - andy black lyrics
- be around - magic potion lyrics
- trankiki - bobi bozman lyrics
- dai - pawns lyrics
- the bully - sody lyrics
- singgang - suliyana lyrics
- too many teardrops - emma bunton lyrics
- the wall's secret - bumy goldson's wall lyrics
- let me let you down - courage & áine lyrics