tafsiri hii (remix) - kalamashaka lyrics
[intro]
waa waa! (moja mbili)
toka sua! (express)
nipe remix
nipe mister…
ukiwa dandora, wewe tafsiri
ukiwa huruma, wewe tafsiri
ukiwa bahati, wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
na ukiwa westlands, wewe tafsiri
ukiwa m-th-iga, wewe tafsiri
ukiwa lang’ata, wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
hata na hapo congo, wewe tafsiri
buru na uhuru, wewe tafsiri
hata kule runda, wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
[verse 1: vigeti]
tafsiri
wewe unastahili kunipa nafasi
nitumie swahili
mi nizuru mpaka kila nation
nikitangaza kuwa afrika kuna matata
basi mashaka
wadogo kwa wakubwa huku nasi twapata
hakika hatuna kichwa wala mkia hapa
akina ohoho, kauzi sasa wako kwenye wira
wape hiyo correct, [?]
nilishika microphone kila
siku ili niwe kama puff daddy ama yule busta
hakuna tumaini
nadhani nitakuwa ka omondi ama rasta
yaani washa nikiyaweka akilini
sasa nitazuru ruaraka
nipate angalao chupa kadhaa za tusker
ili nisahau hizi taabu zangu
ah! mungu w-ngu
zitaisha lini?
kila siku mimi ninawaza ninakaa
nijipeleke futi sita chini ni balaa
sasa mimi niko na josiah ninawapatia verses shinda bibilia
[hook] x2
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
[verse 2: kamaa]
nikueleze
vile kule d kama wyclef na phonte si hujaribu
ku-stay alive, vile si hu-survive
’95 tulianza kuroga ili tupate za mboga
sio juju kukoroga, ni muziki kuucheza
ili ghetto tuweze toka
tukishaomoka
pick up vijana wa soka
wa timu ya mysa, kabisa
ghetto tutatoka bila kupiga watu tisa
tumaini siku moja chapaa utakuja kuingiza
na utakuwa ukitembea bila kuulizwa
‘kijana unaenda wapi?’
utakuwa ndani ya ‘cedo ukiishia kula happy
najua kwa huu wakati ni ngumu kuamini
ama unashindwa utafika huko lini
kwani kuanzia utotoni umekuwa kule chini
na umaskini umekuwa ni rafiki
utapatwa na riziki
[hook] x2
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
[verse 3: oteraw]
mabeshte kule ghetto mi huniita al pacino
njaro zangu na squad ya watu k-mi
na veli kama ya jesus
nilitamani njaro za credit card na visas
constantly kwenye corner
nak-mbuka saa mbili usiku nikiona
vile mzee akishikwa koo, balaa
nashindwa nikimbilie nani
jambazi? hapana
polisi? hapana, watanitia pingu hata bila sababu
maisha ni magumu, nilikataa elimu
mama yangu alidhani mimi ni wazimu
siku-lose hope nikaanza ku-drop
lyrics moja kwa moja, pata heshima kama pope
smile, siku zote piga nduru
sababu nimepata lita mbili za kunguru
tafsiri, si siri
wengi toka ghetto wamenawiri
[hook] x2
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
tafsiri hii
[bridge]
you’ve got to understand
why don’t you understand?
you’ve got to understand
why won’t you understand?
come on, come on
1-2, 1-2, come on
ay, we major, slamming crews
so creative, everybody knows that we run the show
throw your hands up in the air as you hit the floor
’cause josiah and k-shaka keep you onto so much more
[hook] x3
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
tafsiri hii, maisha kule d ni mazii
mi nalia nikitumia mic
tafsiri hii, ingawa tuko chini bado tuna tumaini
sikiza kwa makini
[outro]
ukiwa kite, wewe tafsiri
jeri na marish, wewe tafsiri
je [?], wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
ukiwa ghetto, wewe tafsiri
kona mbaya na kamiti, wewe tafsiri
na je kwa shosho? wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
motherland, kibich, wewe tafsiri
ongwaro na salem, wewe tafsiri
ungem na soweto, wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
githare, marigo, wewe tafsiri
korogocho na easich, wewe tafsiri
ukiwa juu ya pachu, wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
kunguru imekushika, wewe tafsiri
na huna chapaa ya chwara, wewe tafsiri
na unadhani hutaki kuwa sober, wewe tafsiri
wewe tafsiri, wewe tafsiri
Random Song Lyrics :
- i swear, i wanted to like this andré album - andy mineo lyrics
- anata yori ue (アナタヨリウエ) - sukekiyo lyrics
- move - dark chisme lyrics
- ein bisschen traurig, aber hey - fornhorst lyrics
- unidos - sounds of grace band lyrics
- sfina - ספינה - itay farkash - איתי פרקש lyrics
- ppp forgiveness - lord jah-monte ogbon lyrics
- бабки (metal version) (money) - грандмастер ai (grandmaster ai) lyrics
- stepshow - zilla balboa, brayk lyrics
- get to know ya (cut) - maxwell lyrics