tegemeo - kaki mwihaki lyrics
usikae mbali nami bwana
hawa adui wamepanga njama
wanasema mungu amemuacha
mfuateni mkamateni hana wa k*muokoa
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
baba usiniache niaibike
nifiche niokoe.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
tegemeo langu
tegemeo langu.
uhimidiwe bwana wa mabwana
neno lako hili baba ni la kweli
mfalme wa wafalme
ninaamini yote usemayo
neno lako hili baba ni la kweli
mfalme wa wafalme
. uhimidiwe bwana wa mabwana
neno lako hili baba ni la kweli
mfalme wa wafalme
ninaamini yote usemayo
neno lako hili baba ni la kweli
mfalme wa wafalme
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
baba usiniache niaibike
nifiche niokoe.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
tegemeo langu
tegemeo langu.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
baba usiniache niaibike
nifiche niokoe.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
tegemeo langu
tegemeo langu.
tegemeo
wee ni tegemeo langu
tegemeo
wee ni tegemeo langu
usiniache niaibike
nifiche niokoee.
tegemeo
wee ni tegemeo langu
tegemeo
wee ni tegemeo langu.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
baba usiniache niaibike
nifiche niokoe.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
tegemeo langu
tegemeo langu.
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
baba usiniache niaibike
nifiche niokoe
wee ni tegemeo langu
wee ni usalama w*ngu
tegemeo langu
tegemeo langu.
Random Song Lyrics :
- flu - spade427 lyrics
- shallow graves - ghoulshorizon lyrics
- marshmallow - little green lyrics
- bon appétit - chavo lyrics
- blackjack - maple lyrics
- i touched the hem - stand music lyrics
- living for love (demo 5) - madonna lyrics
- alone - lil tano lyrics
- safehouse - iso indies lyrics
- my voice - lawsy lyrics