mbogi ya madenge - kagwe mungai lyrics
leo tunawaka na matenje
na sitaki hasira kaende
ah si tuko sawa na kirende
ngori mbogi ya madenge
leo tunawaka na matenje
na sitaki hasira kaende
ah si tuko sawa na kirende
ngori mbogi ya madenge
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
kagwe generali wa madenge
drip iko sharp kama wembe
hater mi sijalishwi na wewe
chain chain itabidi unipende
manyege nikispit tu kigenge
niko rada ka msupa na kibenje
shika mawaidha kam kam nikujenge
mi ni classic pilipili na maembe
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
msupa anafloat kwa ukuta
anadai aspoonfeediwe mambuta
na kenye mi nataka ni a couger
ajue k*mix pizza na sk*ma
ajue kufunga pampers na nyuma
ajue kudance gengetone na rhumba
alejandro anakuw*nga critical
the way to his heart ni kwa genital
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
kagwe real talk mi ni rockstar
kwani kuna kitu mi nakosa?
na denge kakibaki wanatosha
ngoja ushawasha shada ye ana**
ngori, balozi wa machopi
ngozi, dhahabu haikosi
mbogi waroro na manoti
moshi ukitaka mi ndio kiongozi
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
hadija hadija tunachezanga ka kaninja
mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Random Song Lyrics :
- "galactophore" - wind ( hitler et gay) lyrics
- cautious - rocket da goon lyrics
- hear me - devin townsend lyrics
- victimeyes** - sprite lee lyrics
- wyttw - blvkkhvrt. lyrics
- pokaži kako to radiš - deniro lyrics
- crazy tampern - tk from ling tosite sigure lyrics
- 9/03/14: st vs. гарри топор - versus battle lyrics
- save the date - girlfriend material lyrics
- vento vela mar - penalva & banda rpb lyrics