wa kwangu - kadason lyrics
yeah eh
ihh
baghosha
(jini ex double 6)
sitamani wanishushe hili penzi lifike
tufe wote tuzikwe walimwengu mtupishe
nitakuwa nduli iddi amin kwa penzi lako
iwe nchi kavu baharini nitakuwa mboni yako
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
(uh uh huu)
maana huyu (wa kw*ngu pekee yangu)
ah haina kushea (wa kw*ngu pekee yangu) uh
nimejipata kwake (wa kw*ngu pekee yangu) ah
maana huyu (wa kw*ngu pekee yangu)
my we my wewe my wewe
my wewe wa pekee yangu
peke yangu
nimeshacheza sana ndondo
ndondo mipira ya peku
ila we pekee ndo uliogundua kipaji changu
nimeliweka la kwako moyoni
mpaka kinywani siishi kulitaja
umenifanya nipende kiundani
wanipeleka mbali nikibanwa haja
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
(uh uh huu)
maana huyu (wa kw*ngu pekee yangu)
ah haina kushea (wa kw*ngu pekee yangu)
uh nimejipata kwake (wa kw*ngu pekee yangu) ah
maana huyu (wa kw*ngu pekee yangu)
my we my wewe my wewe
ah aah aah
music
Random Song Lyrics :
- atbildes - apvedceļš lyrics
- lash - raum27 lyrics
- poetic justice [remix] [mixed] [ushuaïa ibiza 2024] - kendrick lamar lyrics
- quando sei con me - elisa rosselli lyrics
- m pwomèt ou - stan ofisyèl lyrics
- pas cu pas - pistol cu capse lyrics
- je t'aime - mon doux saigneur lyrics
- 50/50 - nullbody lyrics
- me mas turbo - bellakath & dani flow lyrics
- paper alley - anna mcclellan lyrics