tatizo - k son rap lyrics
tatizo vita ucrein mafuta bongo yanapanda bei..imekuwa tatizo../gharama maisha zimepanda mkiongeza tena tozo inakuwa bonge tatizo../msemaji akiwa tive ake hili nalo tatizo../dili za magendo mkikosa uzalendo..mkikosa upinzani..bunge la ushindi wakishindo/..kwenye jiji la makala..mgambo na mchinga kariakoo../bado tupo local vp international..pia ni tatizo../tatizo ni madawa ya kulevya mateja panya rodi../wengi wana kwepa kodi..wagonjwa wanafia kwenye wodi../unyanyasaji ukeketaji mila zakijadi bado nitatizo../
tatizo mn*z*ngua mnajijua../
tungo zakitoto..kimuziki hamjakuwa../ tatizo hamjiziki vitabuni..
ngoma zenu zikitoka../zote n*z*tia tu kapuni../tatizo hamfati misingi hata kanuni../hamjui kuwa hiphop utamaduni../tatizo mnajikuta wabishi taikuni..mpo bongo kimawazo ughaibuni../mnatamani mgekuwa lildark..lilbaby tatizo haliduni../
Random Song Lyrics :
- between the world and me - inoran lyrics
- voices - tjb (canada) lyrics
- red bull* - xxxxmlz lyrics
- ready for me - ace armani lyrics
- i hate that i feel this way sometimes ( cringe ) - jennifer-lynn christie lyrics
- old queen cole - at the cat’s cradle, 1992 (live) - ween lyrics
- god bless america - turtlenecked lyrics
- evergreen - nurko lyrics
- мигалки (flashing lights) - eleawha! lyrics
- blitz! - k.l.d (rapper) lyrics