ndoto ya mchana - k son rap lyrics
[intro]
yeah ksonrap
this one right here is for the people
yeah, let’s go
[verse]
ajira hakuna tunasuk*ma mikokoteni../wanasiasa baada ya kampeni wameingia tu mitini../bila hata kandili wametuacha tu gizani../kila kitu wametupiga pini wanasingizia vita vya ukreini/vitu vinapanda bei madukani..nachokisema nikweli wala sio utani../mfanya biashara wan*z*funga tu mizani../shekhe msikitini anakosa hela yakununua hata ubani../hakuna anaetoa sadaka kanisani hatuna hata mbuni../hakuna madawati watoto wanakaa chini mashuleni../sare zao zimetoboka matakoni../wabunge wao wanasinzia tu bungeni..wametuacha kwenye mataa hali duni../wanaishi zao tu mijini tuvyoishi ni kama mateka tu vitani../hakuna madawa hospitalini majisafi hayatoki mabombani../wanapitisha tu kokeni mateja wan*z*di tu kujaa uswahilini../hadi lini? magendo yanapita tu bandarini../hatupo hata makini wanasafirisha makinikia watuambia sio madini../nyie kopeni siegii anatuambia yanaongezeka tu madeni../watetezi wote wapojela wanakesi za uhaini../waliponea chupuchupu walikimbilia uhamishoni../
Random Song Lyrics :
- visioned - in cathedrals lyrics
- poppin challenge - scru face jean lyrics
- ricochet - rhiya luna, jrd876 lyrics
- er oder sie - udo jürgens lyrics
- cannibal - zillakami lyrics
- what fortunes - onsen lyrics
- good guys - bizzle lyrics
- what you missin' - le'mon driver lyrics
- gott verdammt - die kreatur lyrics
- depois - fausto lyrics