lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

moto - k son rap lyrics

Loading...

panapof*ka moshi kuna moto../ukich0m*a betri..kinachofata jua ni moto../ukija pekupeku kama mpoto..utaukanyaga moto..hatari weka mbali na watoto..kimewaka piga simu zimamoto../sijui simba sijui tembo..wote wanauogopa huu moto../dingi amekimbia majuk*mu changamoto..nyashinki koloo khaligraph kaa la moto../nikiwasha hakuna wakuzima huu moto..za mwizi zikifika akishikwa jua ni moto../madini yanapita kwenye moto..chuma hufua chuma kwenye moto../tenda dhambi kwa shetani kuna moto..moto juu moto..nikiwa booth kwenye spiker utachoskia tu moto../nikirudi home mama watoto hunipika vitu moto moto nikimaliza kinachofata tu moto../nikiwa bar nimechill nimegiza ya baridi moja moto../wakavamia majambazi wenye chamoto wakapiga sana risasi zenye moto../

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...