zaidi - jux. lyrics
its bob manecky
[verse 1: jux]
na na na na×4
zinanitoka goose bumps, nikisikia jina lako
mi ninaweukaa, kabisa mi ni chizi wako
na kama ni mganga eeeh, mzuri huyo mganga wako
sio kwa kunipumbaza huku (baby mmhh)
[bridge: jux]
mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
tena na sukari guru, utamu nikitafuna eeeh
baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
tena na sukari guru, utamu nikitafuna eeeh
kama ni pilipili maa, acha ukali niusikie
kama nivita mama, acha adui wanivamie
kama we ni asali maa, acha na nyuki wanivamie
lakini penzi lako baby, ata kidogo lisipungue
no no nooooo
[chorus: jux]
zaidi x4
nipe x2
zaidi x2
wewe zaidi zaidiii
wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
[verse 2: jux]
nanyosha mikoni juu, kwako me nimesurrender
naona maajabu, sungura kazidiwa ujanja
nimekuwa zuzu zuzu zuuu, nimekuwa bubu bubu buuu
nimekuwa mbumbu mbuu baby ehh, nimekuwa zaidi ya nyumbu
sioni sisikiii… (aaah)
sioni sisikiii baby eeeh
[bridge: jux]
kama ni pili pili maa, acha ukali niusikie
kama nivita mama (na na na na), acha adui wanivamie
kama we ni asali maa, acha na nyuki wanivamie
lakini penzi lako baby, ata kidogo lisipungue
[chorus: jux]
zaidi x4
nipe x2
zaidi x2
wewe zaidi zaidiii
wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii)
[bridge: jux]
mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
tena na sukari guru, utamu nikitafuna eeeh
baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh
tena na sukari guru, utamu nikitafuna eeeh (mmmmh)
Random Song Lyrics :
- paparazzi - francis wolfe lyrics
- gamos - kazmi lyrics
- cry pretty - carrie underwood lyrics
- behind the scenes - johnée lyrics
- m. bison - flatbush zombies lyrics
- ruins - ronnald lyrics
- café - arthur melo lyrics
- one-winged angel - nobuo uematsu lyrics
- why can't we work - skizzy mars lyrics
- the privilege bridge - abc me lyrics