lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

upofu - jux. lyrics

Loading...

elly piano
[verse 1: jux]
ahh
unaweza kupenda, tena bila sababu
ndio maana sijutii, kukutana na wewe
mapenzi ni kitambo, toka enzi za mababu
ndio maana sijutii, kukutana na wewe
upofu wako sio tatizo
uwepo wako kwenye matatizo
aaah! tabia zako ooh jinsi ulivo
huruma wako ooh, baby

[hook: jux]
nywele zako, baby, sura yako
kucha zako mama, rangi yako
mwendo wako, darling, shepu yako
zinanibamba wewe
pozi zako, mama, maringo yako
unanidatisha michezo yako
kiuno chako unaweza, eeeh
natamani ungejiona
jinsi ulivyo mrembo x2
ungeona mama
jinsi ulivyo mrembo x2
natamani ungejiona
jinsi ulivyo mrembo x2
wewe ni mzuri
jinsi ulivyo mrembo x2

[verse 2: jux]
kuna muda unatamani, unipikie chakula, kibaya hauwezi
kuna muda unatamani unichagulie cha kuvaa, kibaya hauwezi
kuna muda unatamani tutazame wote muvi, kibaya hauwezi
kuna muda unatamani uione sura yangu, kibaya hauwezi
kuna muda unatamani uione sura yangu, kibaya hauwezi
siwezi kuacha njiani, we ndio w-ngu maishani
na wengine sitamani, hata kama hauoni
we ndio w-ngu daily, wengine sitamani
unanipa raha tele, umenikaa moyoni
ahh! aaah! eeeh

[hook: jux]
nywele zako, baby, sura yako
kucha zako mama, rangi yako
mwendo wako, darling, shepu yako
zinanibamba wewe
aaah! pozi zako, mama, maringo yako
unanidatisha michezo yako
kiuno chako unaweza, eeeh
natamani ungejiona
jinsi ulivyo mrembo x2(no no)
ulivyo mama
jinsi ulivyo mrembo x2
ahh weee ni mzuriii
jinsi ulivyo mrembo x2
aaah! aaah! jinsi ulivyo mamaa
jinsi ulivyo mrembo x2

[bridge: jux]
your love and me x3
nafurahia
your love and me x3
we ni mzurii
your love and me x3
nafurahia
your love and me x3
nafurahiaaaa

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...