lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nisiulizwe - jux. lyrics

Loading...

[intro]
yo, yo, you’re so fine
baby (hey!)
i do this for you, oh no
mmmh
(s2kizzy, baby)

[verse 1]
nahisi niko kwenye njozi
huba imenikolea, kuamka sitamani (kuamka sitamani)
yeah
tena na kusihi ulilinde penzi
mwenzako nimenogewa, hoi taabani (hoi taabani)

[chorus]
na hata nikiumwa we’ ndio unanitibu
w*ngu daktari, kukupenda ni wajibu
nisiulizwe maswali
baby, nipe taratibu
huo utamu wa asali
kukupenda ni wajibu
nisiulizwe, no, no

[post*chorus]
kwako nitang’ang’ana (ntang’ang’ana nawe, mmm)
kwako nitang’ang’ana (ntang’ang’ana nawe)
ah, kwako nitang’ang’ana tu (ntang’ang’ana nawe)
eh, eh*eh
kwako nitang’ang’ana (ntang’ang’ana nawe)
yeah, yeah
sababu i love you
yeah, yeah
i love you
mmm, yeah
[verse 2]
naanzaje kuku*cheat nakifata kipi?
hakuna jipya duniani nishafanya utafiti
tena umewaacha [mbal*e], ulipo we ‘hawafiki
maombi yangu toka kale, nimepata rafiki
mmm

[hook]
na hata nikiumwa we’ ndio unanitibu
w*ngu daktari, kukupenda ni wajibu
nisiulizwe maswali (yeah, yeah)
baby, nipe taratibu
huo utamu wa asali
kukupenda ni wajibu
nisiulizwe, no, no

[outro]
kwako nitang’ang’ana (ntang’ang’ana nawe, mmm, yeah)
kwako nitang’ang’ana (ntang’ang’ana nawewe, hey)
kwako nitang’ang’ana tu (ntang’ang’ana nawe)
eh, eh*eh
kwako nitang’ang’ana (ntang’ang’ana nawe)
yeah, yeah
sababu i love you
yeah, yeah
i love you

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...