in case you didn’t know - jux. lyrics
in case you didn’t know lyrics
its bob manecky
iyee
[jux]
ni maradufu
upendo wako umenifaa
ni maradufu yeah yeah
uwepo wako umetawala
nikiwa pekee yangu (bado bado)
sijakamalika (bado)
hata mipango yangu (bado bado)
inavurugika (bado)
hakuna anayezidi kwako mama
nguvu ya mapenzi yako (balaa aah)
umenifanya nijione bora
bila wewe mi siwezi ng’ara
hakuna tena zaidi yako mama (zaidi yako)
nguvu ya mapenzi yako balaa (mapenzi yako balaa)
umenifanya nijione bora (nijione bora)
bila wewe mi siwezi ng’ara no no
(chorus) [jux]
in case you don’t know (iye)
nitacheka nawe
nitacheza nawe (iye)
nitaimba na wewe
in case you dont know (iye)
nitaringa nawe
nitakwenda nawe (iye)
popote my baby girl
in case you dont know (iye)
nitacheza nawe
nitaimba nawe (iye)
nitakwenda na wewe
in case you don’t know (iye)
nitacheza nawe
nitaringa nawe (iye)
in case you don’t know
[nyashinski]
inaweza kuwa fresh ka unatime
twende mahali out
okey nachoshwa usimind
naeza kaa kwa couch
ni try kukuimpress
ata smile baby angalau
na tunatesa hii town
tunairun walai
mahater wanakesha
wakitry kubring huyu lover down
uskuwe na pressure sit down
let me run my mouth
isikuogopeshe ikisound
kama wedding vows
nikutumie location ukam’
mahali pia tulounge
night ikue special
surround sound
movie loud
do be loud
si huwa loud ata bila party
(it’s a party for two)
my mission is to always stay true
live to see my dreams come true
with you (you)
i smell the wine on your breath
then you turn around
and whine by yourself for me
you got me trying to resist
i pay no mind to the rest
na nakuanga nimek*mind
you’re the best for me
you pretty bum look
now you make me love you
now let me remind you
or tell you…
(chorus)
in case you don’t know (iye)
nitacheka nawe
nitacheza nawe, (iye)
nitaimba na wewe
in case you don’t know (iye)
nitaringa nawe
nitakwenda nawe, (iye)
popote my baby girl
in case you don’t know (iye)
nitacheza nawe
nitaimba nawe, (iye)
nitakwenda na wewe
in case you don’t know
nitacheza nawe
nitaringa nawe, (iye)
(bridge)
nasema mi
najivunia kuwa na wewe
kwa furaha unayonipa
nipa darling (ooh)
nasema mi
najivunia kuwa na weh
kwa furaha unayonipa
nipa baby
(weh)
(chorus)
in case you don’t know (iye)
nitacheka nawe
nitacheza nawe, (iye)
nitaimba na wewe
in case you dont know (iye)
nitaringa nawe
nitakwenda nawe, (iye)
popote my baby girl
in case you don’t know (iye)
nitacheza nawe
nitaimba nawe (iye)
nitakwenda na wewe
in case you don’t know (iye)
nitacheza nawe
nitaringa nawe
in case you don’t know
Random Song Lyrics :
- bulanik - retro lyrics
- captain midnight (pedra aguda's version) - pedro ninja lyrics
- shox - mirai & osémio boémio lyrics
- one life - sonny landreth lyrics
- ghetto kunlun - johnny merk lyrics
- costa azzura - thabiti lyrics
- the reaper - we were giants lyrics
- lost angels - apollo brown & stalley lyrics
- amor se escribe con llanto - chili fernández lyrics
- best day of my life - ryan oakes lyrics