lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

masido - juwata jazz band lyrics

Loading...

ulinipa ahadi tukutane kwenu,
nikitumaini nimewahi,
nilichopata kwako ni matusi ooh, ooh na

dharau tele
ungenieleza ukweli solemba,
kuliko kunidanganya ooh,
najuta kuitimiza ahadi ooh ambayo si ya
kweli.

nilikupenda kimapenzi solemba eeh,
ila dharau uliweka mbele solemba.

nilichomwa na jua toka asubuhi,
mpaka saa nane solemba sababu ya
kukungoja wewe
k-mbe ulikua ndani ukichungulia dirishani
nimesh-tuka solemba,
nimesh-tuka solemba

nilikupenda kimapenzi solemba eeh,
ila dharau uliweka mbele solemba.

sikutaki tenaaa, sina haja nawe, nimeshapata
mwingine atakaye nipenda kwa roho moja,
tafuta bwana mwingine utakae mbabaisha
kama mimi
huna huruma solemba… aloi i love you
baby

nilikupenda kimapenzi solemba eeh,
ila dharau uliweka mbele solemba.
rudi mwanzo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...