umenikamata - juma jux lyrics
nisikilize ninavyoimba (imba)
na pia navyopiga gitaa
naona watu wamependeza
nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh)
najua ujue leo hii
kitatokea nini
najua ujue leo hii
nitakuambia nini (nitakuambia nini,darling)
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
haki ya mungu wewe ni mzuri
you are so beautifull
na mungu kakujalia
huna chembe ya kiburi
wewe ni msafi wa roho
i dont wanna let you
go
i wanna marry you
girl and nothing comes between us
am gonna give you
my loving and make them
wanna be us
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
(bridge)
mamy namuomba mungu
akulinde (akulinde)
akutunze na watoto uniletee
wewe ni furaha yangu (yangu)
maisha yangu (ni wewe)
ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata wee
umenikamata x4
Random Song Lyrics :
- danke schön - stigorol lyrics
- hawk 900 - blp kosher lyrics
- modulations - boy harsher lyrics
- pólar - kirem lyrics
- deixa fluir - hotelo lyrics
- no me supiste querer - yvngframe lyrics
- you know it's okay - ellzo lyrics
- απόδραση (apodrasi) - haris kostopoulos lyrics
- mother. interlude - oum hamoody al-baghdaddiyuh lyrics
- and my man thank you to my man (remix) - jeremie lyrics