saa tatu - jucyflaps lyrics
[hook]
nakuanga na vitu kaa tatu
siwezi kuchocha ufyatu
mbogi ilisnadi
ikarudi saa tatu
dangulo usimwook na viatu
nakuanga na vitu napenda kutattoo
usiriet na hujabonya
usicum na hujafanya hizi bash
tulizianza saa tatu
mazigi zikam
mazigi zikam
nakuanga na vitu kaa tatu
siwezi kuchocha ufyatu
mbogi ilisnadi
ikarudi saa tatu
dangulo usimwook na viatu
nakuanga na vitu napenda kutattoo
usiriet na hujabonya
usicum na hujafanya hizi bash
tulizianza saa tatu
mazigi zikam
mazigi zikam
[verse 1]
na si ati najua tu kuroga
naeza kucharm nikudiss
nikugeuze changli
seti tulewe itisha upewe
napenda hiyo keki
ngeus ako s*xy
nataka hiyo keki
ntaikata na deki
nataka tumbleki
tonight is the night
si unajuwa sikosi ngwai
ama nini my guy? aiii
napenda hiyo vibe i’m on set
nakata hiyo mzinga adi late
baroda ni ngimi usitense
nataka tuvibe adi kesho tumblein
chizi iliwasha ikableki
alibana huyo mshe
nani seki na siati nacheka na keki
keki ikijipa naikata na seki
i’ll be so ready
hiyo chatu ni refu
nataka nichatiche ploti
ngеus ni mogatha
napenda hiyo figure
mondaki inanauwo
jucy ni ngori hakuna matori
na me ndio ni wauwoo
nakuja na lorry so mе siogopi
nafunga hiyo bauwooo
[hook]
nakuanga na vitu kaa tatu
siwezi kuchocha ufyatu
mbogi ilisnadi
ikarudi saa tatu
dangulo usimwook na viatu
nakuanga na vitu napenda kutattoo
usiriet na hujabonya
usicum na hujafanya hizi bash
tulizianza saa tatu
mazigi zikam
mazigi zikam
nakuanga na vitu kaa tatu
siwezi kuchocha ufyatu
mbogi ilisnadi
ikarudi saa tatu
dangulo usimwook na viatu
nakuanga na vitu napenda kutattoo
usiriet na hujabonya
usicum na hujafanya hizi bash
tulizianza saa tatu
mazigi zikam
mazigi zikam
Random Song Lyrics :
- same shit - obie trice lyrics
- lourde est l'idée - kramaslabovitch lyrics
- this old flame - juice newton lyrics
- il drink & la jolla - guè pequeno lyrics
- startin' (drake - 10 bands remix) - giwu lyrics
- déjame verte - diego martin lyrics
- 30 février - sam's lyrics
- amssétou - -m- (chanteur) lyrics
- terra - johari lyrics
- when it cuts [demo] - ill niño lyrics