wewe - jomonotics lyrics
yeeah
it’s jomo, it’s jomonotics
with the beautiful shally maina
nilizaliwa kukupenda we’
haja yangu kukupenda we’
dawa yangu kupendwa na we’
wewe, mmm
nilizaliwa kukupenda we’
haja yangu kukupenda we’
dawa yangu kupendwa na we’
wewe
hey, i got your back hun, coz i need to follow my dream
nishakuwa martin luther king juu, we ndio my queen
you so special, mi’ nimekuplace even above me
so siezi kuruka hun, coz, this love is real
naskia kutake kush, ndio nione mko wawili
ndio, mmoja akienda mmoja abaki na mimi
mi’ nishakuweka wa kwanza, mmh, you one in a milli
na mi’ nishakupenda pia so, please never lеave me
uliza drake, you’rе the best i ever had
tushaikosana but a quarrel from you i never had
so ka’ mapenzi ni moyo mi’ nitashindia nikikuheart
napenda marvin but juu yako mi’ naeza dunga hat
ni mi’ nilikuapproach, ni we’ ulinikubali
sasa hivi tushapair kama njumu zangu hizi
we’ sio kila kitu kw*ngu, we’ ni chochote naneed
beiby, na mindo everything you need
nilizaliwa kukupenda we’
haja yangu kukupenda we’
dawa yangu kupendwa na we’
wewe, mmm
nilizaliwa kukupenda we’
haja yangu kukupenda we’
dawa yangu kupendwa na we’
wewe
bila wewe me nothing, na napenda vile unanicomplete (complete)
aki ya nani, unanidrink (we’ hunikunywa)
siku saba bado ushanimake weak
hali yangu mbaya, me mgonjwa die we’ nitibu tibu
(hey beiby) mapenzi kipofu, hii ipate green flags
kukupenda ndio routine yangu sina haya
ka’ ungekuwa unatozwa ushuru ningedaiwa ngapi
pesa moob, sio haram beib
tuote ndoto tukilala, na icome true tukiamka
nikupeleke l. victoria ukakule mbuta (mbuta)
twende honeymoon the best place ever in the world
na kwetu subaland, kukufikisha huko ni kuland
hey shawty, cheki peng, why you so fine
drop dead gorgeous, we’ ni k!ller walahi
we’ hunimurder, i like you as a topic
d*mn it shawty, you look like a s*xy coca*cola bottle
nilizaliwa kukupenda we’
haja yangu kukupenda we’
dawa yangu kupendwa na we’
wewe, mmm
nilizaliwa kukupenda we’
haja yangu kukupenda we’
dawa yangu kupendwa na we’
wewe
kupendwa na wee
Random Song Lyrics :
- somewhereovertherainbow. - just lance lyrics
- monsters - bambu lyrics
- courageous - (film version) - casting crowns lyrics
- dear santa, bring me a man - the aaa girls lyrics
- iɣ ila lbaz rric (fr) - oudaden lyrics
- pressure - leroi lyrics
- mon histoire - a2h lyrics
- miles stone - miles davis lyrics
- blue hawaiian - the green regime lyrics
- one trick pony - pronto mama lyrics